Ray C: TID ndo alinifundisha kuvuta UNGA!

:A S angry:Ray C anatakiwa kupewa ushauri nasaa na kuwekwa chini ya ungalizi maalum

kwanini tupoteze fedha kwa hopeless kama yeye? Si bora hiyo pesa itumike kusaidia watanzania wengine wenye maisha magumu!!
Hiyo ndio njia alioichagua mwacheni aendelee nayo mpaka mwisho wake!
 
kwanini tupoteze fedha kwa hopeless kama yeye? Si bora hiyo pesa itumike kusaidia watanzania wengine wenye maisha magumu!!
Hiyo ndio njia alioichagua mwacheni aendelee nayo mpaka mwisho wake!

r c aliacha kubwia sembe hii thread ya longtime
 
binti kiuno bila ya mfupa i miss her,ubaya wa wavuta unga wengi wao huwa hawakubali ili wasaidiwe hasa macelebrity bali hukataa alafu ubaya wa unga wa kimasikini ukivuta lazima ukonde
 
attachment.php

Mjini wanyama kibao cha ajabu wanakula unga

Mkuu hapo alikuwa anaimba au analia?
 
binti kiuno bila ya mfupa i miss her,ubaya wa wavuta unga wengi wao huwa hawakubali ili wasaidiwe hasa macelebrity bali hukataa alafu ubaya wa unga wa kimasikini ukivuta lazima ukonde

Ukiwa na uwezo haukondii etiii!!?/
 
Sidhani kama hii habari ni ya kweli...habari za uhakika nilizo nazo toka kwa mtu anayemsaidia kuacha madawa ni kuwa hajaacha, na kama wiki mbili zilizopita alitoroka rehab Hydom Arusha...na hana tena mawasiiliano na watu wanaomtakia mema..yaani waliokuwa wakijitahidi kumsaidia kuacha madawa ya kulevya unless anapokuwa hana kitu ndio anapiga simu za mizinga!

She is battling it...she needs help...a serious help!

Na dogo aliekua anavuta nae huku Hydom Mbulu anaitwa Msafir
 
Ukiwa na uwezo haukondii etiii!!?/
utakondaje wakati unakuwa una dkt wako maalum anaekupangia ule nini na mshauri wako tofauti na kibongo bongo unga mwingi msosi f unakuta mtu anajaza ma carbohydrate tu mwilini kila siku,hafanyi hata balance diet,waangalie wasanii wamarekani wanaobwia bado wako vilevile tena wengine ni strong
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom