Ray C kanenepa hivi?

Darling

Member
Jul 30, 2007
69
1
Dear Ndugu;

Msishangae; lakini i have seen kwenye gazeti ya baabkubwa picha ya Rey C akiwa booooonge. I just want to confirm.
Please naomba kujua if the picture was real or some fiction of mtandao.
Thank you
 
hiyo bado sijaipata ila nilikua naomba za mkuu wa kaya nitumiwa kama mtu anazo
 
Dear Ndugu;

Msishangae; lakini i have seen kwenye gazeti ya baabkubwa picha ya Rey C akiwa booooonge. I just want to confirm.
Please naomba kujua if the picture was real or some fiction of mtandao.
Thank you

Hujui ART huwa zinanenepesha? teh teh teh
 
Hujui ART huwa zinanenepesha? teh teh teh
shem omba radhi.......kitu kile kiko fresh kabisa bado new sema magazeti ya shigongo yanamuaribia.....na bado kiuno hakina mfupa.....hajawa bonge ila kazidi kuwa mkali...
 
shem omba radhi.......kitu kile kiko fresh kabisa bado new sema magazeti ya shigongo yanamuaribia.....na bado kiuno hakina mfupa.....hajawa bonge ila kazidi kuwa mkali...

naomba picha jamaniiii
 
Kuna wana JF nawashangaa. Leo nimeona thread moja ikihoji Madam Rita kapungua mwili. Hii kanenepa sana. Kwenu jema lipi? Maswali hayo ni muafaka kwenye gazeti la uwazi.
 
Kuna wana JF nawashangaa. Leo nimeona thread moja ikihoji Madam Rita kapungua mwili. Hii kanenepa sana. Kwenu jema lipi? Maswali hayo ni muafaka kwenye gazeti la uwazi.

Masanja was right nani wewe kakupa ukiranja kumimamia thread za hapa JF....wapishe wenye nafasi zao wajivinjali kuondoa stress.....! Kama hupendi log off...
 
kuna wana jf nawashangaa. Leo nimeona thread moja ikihoji madam rita kapungua mwili. Hii kanenepa sana. Kwenu jema lipi? Maswali hayo ni muafaka kwenye gazeti la uwazi.

wewe unajua kukosoa tu!did you read what i wrote? Nimesema nataka kuconfirm sababu picha ya za mani na sasa ni tofauti kubwa sana. M happy for her.if that is real....
 
Nimesema nataka kuconfirm sababu picha ya za mani na sasa ni tofauti kubwa sana. l....

Kumbe umeshaona picha ya zamani na ya sasa hata ukafikia kuconfirm kuwa kabadilika, enheee picha unayoitaka hapa ya nini?

Yaelekea ulikuwa mdau wa zeutamu, sasa huna pa kutapikia udaku wako, JF sio utamu, koma kabisa.
 
unataka picha ili ufanyaje?
....mods mmefunga thread ya rita mnaacha thread kama hii inaendelea kuwepo....

NIMEOMBA PICHA KUCONFIRM. KWASABABU NIMEFIKIRI HAPA KWENYE HII FORUM KUNAPATIKANA EVERY THING COZ WE ARE MEETING KIND OF DIFFERENT PEOPLE.

Please giv people a break!
 
Kumbe umeshaona picha ya zamani na ya sasa hata ukafikia kuconfirm kuwa kabadilika, enheee picha unayoitaka hapa ya nini?

Yaelekea ulikuwa mdau wa zeutamu, sasa huna pa kutapikia udaku wako, JF sio utamu, koma kabisa.

inaelekea unapenda mipasho; you have met wrong person sorry!
 
Kunenepa siyo shida kama bado una-perform ipasavyo. Shida ukiwa mnene halafu uwe mzembe,
 
Her size is her business. Kama yeye karidhika na alivyo na kama mpenzi wake(kama bado anaye) ana pendezwa nae basi hakuna shida. She is not a model. Personally I think she still looks as beautiful as ever. Kumbukeni beauty is in the eyes of the beholder na one man's trash is another man's poison. As for me I like a woman with a bit of curves & junk in the trunk kwa wale wanaopenda mamiss sawa kila mtu na taste yake.
 
Risasi%2BMchanganyiko%2BJumatano%2B3.Juni%2B2009.jpg
 
Back
Top Bottom