Ray C ampokea Yesu na kubatizwa

Tayari Mapovu YANAMTOKA HUYU.

Kwani Yesu yupo wapi? Maana unataka fahamu kafika lini, au sio?

YESU HALAZIMISHI WATU kama yule wa kule DUNIA YA KATI AMBAYE HANA JIPYA ZAIDI YA BALAA TUPU.

Unakuwa km mbulula !Hilo sio jibu,
 
I dont believe in such sort of people named "wasanii" coz they'r real wasanii as the their logo depicts them. They are after nothing rather than world wealth. Their lips are smiling while hearts are black.

True. Dat is!
Actors! Thats all
 
mmmmh yesu wa waliechanganyikiwa na maisha mbona mambo yenu yakiwa safi na akili zenu zikiwa timamu hamna time naye acheni kutupiga mchanga wa macho humu tumewastukia.
 
Teh teh teh teh! Nimeskia fununu kuwa atafikia pale vingunguti uwanja wa fisi!
Manake naskia pale wako wengi wanasubiri kumpokea!

Hivi watu wanaweza kumpokea Allah, au ni kulazimishwa kwa mijeredi/
 
Amechilimua ;) haha... Rehema..sawa ni uamuzi mzuri pia..
 
Hivi watu wanaweza kumpokea Allah, au ni kulazimishwa kwa mijeredi/

Sidhani kama kuna kitu kinaitwa kumpokea allah
Teh teh teh!
Ni nyie tu ndio mna tabia ya kupokeana kila mara.
Sisi huwa hatusafiri safiri kila mara tushafika!
Nyie ndio wenye matatizo ya safari za kiroho! Kwa hiyo kupokeana sio ajabu.
 
Kwa hiyo nyie mnalazimishwa kwa mijeredi, maana hukupinga hilo. Now I know.
 
Kwa hiyo nyie mnalazimishwa kwa mijeredi, maana hukupinga hilo. Now I know.

Nyie wafuasi wa mungu mzungu!
Ufahamu wenu woote na mtoto wa darasa la 4 hakuna tofauti kabisaa.

Mnaiga wazungu hata kwenda choo bila maji! Matokeo yake mnachafua mazingira!
Na kusababisha global warming! !
 
True. Dat is!
Actors! Thats all
Huyu naye aukacha USILAMU. Ni kubatiza tuuu
hqdefault.jpg

http://www.youtube.com/watch?v=35DOpsahpkI
 
haujui ulisemalo...
Mungu akurehemu
Huyo yesu kaja na usafiri gani? Na ktk hayo mapokezi ile pombe ya bwana imo??

Halafu unasema ANAENDELEA KUBATIZA WATU!!
KWANI LINI ALIANZA HIO KAZI!?
NA JE ANAPATIKANA WAPI NA MIMI NIMLETEE DILI!!?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom