Ray C ampokea Yesu na kubatizwa

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054

Yule dada yetu msanii maarufu wa nyimbo za Bongo wa Fleva leo hii amewaka bayana ya kuwa yeye na shetani sasa ni paka na panya. Amethibitisha hayo katika post zake za instagram. Wambea hatuna maneno mengi zaidi ya kusema angalia picha hizo na wote tuseme AMEN umechagua njia njema.

Screenshot_2013-08-29-15-22-26.png
 
Umesha mpokea Yesu wewe? Au na wewe huna lolote?

Yesu ANAENDELEA KUBATIZA WATU, NYIE MNAENDELEA KUPIGA MAKELELE.

Yesu halazimishi watu, wanakuja wenyeweeeeeee

Huyo yesu kaja na usafiri gani? Na ktk hayo mapokezi ile pombe ya bwana imo??

Halafu unasema ANAENDELEA KUBATIZA WATU!!
KWANI LINI ALIANZA HIO KAZI!?
NA JE ANAPATIKANA WAPI NA MIMI NIMLETEE DILI!!?
 
Huyo yesu kaja na usafiri gani? Na ktk hayo mapokezi ile pombe ya bwana imo??

Halafu unasema ANAENDELEA KUBATIZA WATU!!
KWANI LINI ALIANZA HIO KAZI!?
NA JE ANAPATIKANA WAPI NA MIMI NIMLETEE DILI!!?

Tayari Mapovu YANAMTOKA HUYU.

Kwani Yesu yupo wapi? Maana unataka fahamu kafika lini, au sio?

YESU HALAZIMISHI WATU kama yule wa kule DUNIA YA KATI AMBAYE HANA JIPYA ZAIDI YA BALAA TUPU.
 
I dont believe in such sort of people named "wasanii" coz they'r real wasanii as the their logo depicts them. They are after nothing rather than world wealth. Their lips are smiling while hearts are black.
 
You are weird
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom