Ray acha kujiita the greatest!

mtu anaweza kujiita jina lolote, hawa walikuwa kama yanga na simba hvyo mwachen ray apige kaz mambo ya majina ni juu yake, kama hulipend ni mtizamo wako pia.
 
Watu wanapiga pesa wewe na utabe wako unajadili mabadiliko ya jina!!!btw mashindano yao yalikuwa na tija kwani kila mmoja alikuwa na wivu wa maendeleo ya mwenzake!f.y.i...ray kaanza kujipanga kitambo sema nyota yake katika movie haijang'aa kivile!
mkuu wivu wa maendeleo mzuri,ndo maana sijazungumzia huko,mi nalalamikia uigaji kama wake kama *wa wachina dhidi ya bidhaa original.Mwnzie kajiita The great,kama kweli ni rafiki yake wa kweli angetafuta jina lingine sio kuchukua jina la mwenzie na kulifanyia marekebisho!*
 
kama kuigana dili,magari yote duniani yangekuw yanaitw Toyota,simu zote zingeitwa Nokia!
 
Jamani tusiwe too personal kumattack ray....hapana m2 aliye simama bila kuwa na role models....ubishi huu wa kujiona perfect kwa kila kitu ndo umefanya na utaendelea fanya watanzania kusonga mbele.....mbona huyo mnae mwona kama perfect was always copy and past just making a direct translation from english to swanglish.....let we talk future....to you is like no 1 in tanzania can do something gud than kanumba kwa movies....let we change guys
 
hahaha kweli hii kali, umemsema lakin ebu kaangalie kati yao wawili nan alimtangulia mwenzake kununua gari la kifahari, kisha kachunguze kati yao nani alianzisha kampuni ya kutengeneza filamu akiwa wa kwanza then uone kama yote uliyo yaandika ni sahihi

Tuangalie pia ni nani atakuwa wa kwanza kumfuata KN.
 
hata kanumba hakupaswa kujipa jina la the great, ilitakiwa mashabiki ndio wamwone hivyo na wambatize jina hilo.
 
tena na ye akifa, mnijuze mapema niwahi kupiga picha mpaka wakimfunga macho, kisha ni-expose kwenye blog yangu kule manjecha kwetu! mnikumbushe pia snaps za wakati anaingizwa mochwari! WHAT A PHYSCOPHANT?!!


umesahau moja............... pia uhojiwe na sauti ya ujerumani na useme kwamba Ray amezikwa na watu wengi kuliko baba wa taifa,,,,,na hata the great hakuzikwa na watu wengi hivyo!
 
Hana lolote acting zake hovyo simple hana kipaji...misifa tu. I stopped longtime ago, he just time waster
 
kama kuigana dili,magari yote duniani yangekuw yanaitw Toyota,simu zote zingeitwa Nokia!

huna hoja,haya ni majungu.utakaa kupiga jungu mwenzako anaingiza hela ungekua unaelimu ya biashara usinge bwatuka hiv.na ndio maana kuna cocacola na azamcola,kalale ukue dogo naona bado saana
 
jaman mwacheni ray wa watu,mbona siku zote akijiita the greatest msiseme ?
 
Kweli hilo jina wala halimfai kazi kufoka tu kwn movie cpendi uigizaji wake,hawezi kuwa the greatest anajifurahisha tu hawezi kuigiza km the great hata afanyaje,
 
Nakufagilia sana Ray jinsi unavoigiza bu sifagilii staili yako ya kushindana na kanumba.Unasubili kanumba afanye na wewe ufanye,nasikia kanumba alikuwa akinunua gari fulani na wewe lazima ununue hilo hilo,kanumba akianzisha blog na wewe unaanzisha hata,,alivoweka dawa kwenye nywele na wewe ukaiga..nk.*nisichopenda *zaidi *ni pale kanumba alivojiita THE GREAT wewe ukajiita THE GREATEST.Ukweli huna level ya kumfikia Kanumba kwa namna yoyote,kwa heshima ya marehem nasema badili hilo jina la THE GREATEST!
kwa nini umpangie mtu maisha bana mwacheni afanye kile ancho taka hata marehemu alisema wanashindana kimaendeleo. Mi sioni tabu kujiita the greatest let him be abeg. RAY THE GREATEST 'RJ'
 
Mijitu mingine kwa wivu!!! Mbona Kanumba amecopy na ku paste move za kiNigeria husemi! Aliweka wave nywele kwa kumwiga Nouah ramsey kumbe mshkaji chotara...mbna husemi pia?...acha kuendeshwa na hisia ww!
 
si ndo ushindani wenyewe wa kibiashara
Labda Kanumba alikuwa role model wake
mambo mengine madogo sana kuumiza kichwa
 
wabongo mna laana, Kufa afe Kanumba lawama abebe Ray...kwani ni lazima kila tukio linapotokea kuwe na wa kumlaumu Nauliza ni lazimaa?...Mnaumchukia Ray simply kwa kuoanisha na kifo cha kanumba na mayb sometimes kumuhusisha moja kwa moja na kifo chake mnantibua vuzi kweli kweli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom