Rav 4 inahitajika-arusha

ochoo

Member
Oct 21, 2011
49
1
habari,
nahitaji rav 4 make ya kwanzia 1998. bajeti ni 9M
npo Arusha.
contacts. 0717543373
 
Sasa hivi zinachea 14m mkuu!Labda iliyotembea km laki 3 kwenda mbele!Au iwe haijalipiwa ushuru!
 
habari,
nahitaji rav 4 make ya kwanzia 1998. bajeti ni 9M
npo Arusha.
contacts. 0717543373 !


Mkuu vuta vuta hata kwenye 14m hv nikupe gari 5door Auto good condition
 
Back
Top Bottom