Ratiba ya tume ya kukusanya maoni ya katiba

jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,558
25,322
Wadau wa katiba, tafadhali sana naomba mniwekee hapa ratiba ya tume ya kukusanya maoni ya katiba mpya, manake naona kama inatolewa kwa kushtukiza.
 
Leo kwa kanda ya kaskazini wa manyara

Ratiba ndio mpango mzima, naona kunakushtukizana hapa. Kama lengo ni kupokea maoni ya waendesha bodaboda jutuzwe!!!
 
Back
Top Bottom