Ratiba ya migomo tanzania

NOT ENOUGH

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
596
307
Nafikiri kuna haja ya kujua ratiba ya migomo ya vyuo na mashirika hapa bongo ili members wajiandae.

Tarehe 10/2/2011 - Hospitali ya bugando - kuanzia saa 2 asubuhi mpaka saa 7 mchana - washiriki wagonjwa na manesi

Tarehe 11/2/2011 - Chuo cha IFM kuanzia saa 3 asubuhi mpaka saa 8 mchana - washiriki walimu, wazazi na wanafunzi
 
Is this enough now?????????
 
mwisho JK naye atatangaza mgomo wake binafsi kwa nchi nzima maana mnamwandama sana
 
Nasubiri ratiba ya ule mgomo Mkubwa kabisa "UPRISING TANZANIA" ambao utawang'oa JK na AM Semamba
 
Nafikiri kuna haja ya kujua ratiba ya migomo ya vyuo na mashirika hapa bongo ili members wajiandae.

Tarehe 10/2/2011 - Hospitali ya bugando - kuanzia saa 2 asubuhi mpaka saa 7 mchana - washiriki wagonjwa na manesi

Tarehe 11/2/2011 - Chuo cha IFM kuanzia saa 3 asubuhi mpaka saa 8 mchana - washiriki walimu, wazazi na wanafunzi

Hawa maselule huwa hawashiriki katika kudai lolote. Hawa ni "Watoto wa maghofani". Hapa labda wazazi tu.
 
Back
Top Bottom