ratiba ya mazishi ya rejia

Neema William

Senior Member
Jan 3, 2012
171
76
baada ya misa itakayofanyika leo katika kanisa la segerea jijini hapa kesho mpendwa wetu ataagwa katika ukumbi wa karimu Jee kiserikali na baadaye Regia atasafirishwa kuelekea nyumbani kwao Ifarakara kwa Nduna kwa ajili ya kumuhifadhi katika nyumba yake ya milee, ni maneno aliyosema baba yake mkubwa Regia, Kanuti Mtema
 
pasi na shaka kariamjee itaanza saa ne asubuhi ili wawahi kusafiri kuelekea huko viwanja sitini Ifakara.
 
Ok, ni vizuri watu juishe wana JF ratiba kamili, ili watu waweze kufika hilo eneo , Hakika Mwanaharakati kama Regia anagusa wengi na ndio maana watu tupo informed kwa kila jambo , Mungu anajua the root cause ya ajali yake ila kama ni mwanadamu anahusika ajue kuwa auaye kwa upanga naye atakufa kwa upanga! naye hataishi Milele! Upanga u juu yake ila kama ni Mungu mwenyewe Jina la Bwana nali barikiwe! Ametoa naye Ametwaa! Amen!

Gomezi Richard
 
baada ya misa itakayofanyika leo katika kanisa la segerea jijini hapa kesho mpendwa wetu ataagwa katika ukumbi wa karimu Jee kiserikali na baadaye Regia atasafirishwa kuelekea nyumbani kwao Ifarakara kwa Nduna kwa ajili ya kumuhifadhi katika nyumba yake ya milee, ni maneno aliyosema baba yake mkubwa Regia, Kanuti Mtema

Bange mbaya sana , hii uliyo andika hapo juu ndio ratiba?

Lakini si umeelewa?

Hakuna kilichoeleweka hapo hata kimoja. Ratiba lazima iwe na vitu vifuatavyo Tarehe, Tukio, Muda na Mahali. Sasa kwa akili yako changa tafuta hivyo vyote kwenye hiyo thread, ndio utajua BANGE MBAYA halafu mnaseme eti kuna GT humu JF

Back
Top Bottom