RATIBA YA MAZISHI YA Bw SAMWEL MBEZI a.k.a kidume

OkSIR

Senior Member
Jun 3, 2009
108
1
Kwa niaba ya familia ya Bw SAMWEL MBEZI tunashukuru kwa wote waliokuwa nasi katika kutufariji .. katika msiba wa mzee wetu marehemu MR samwel mbezi.....wakati tukisubiri mtoto wa marehemu anaewasili dar es salaam siku ya ijumaa tumeona tuwape RATIBA YA KINACOENDELEA

MAREHEMU SAMWEL LOUS MBEZI anatarajiwa kuagwa siku ya JUMAMOSI nyumbani kwake KIPUNGUNI...karibu na BANANA....KUANZIA MUDA WA SAA NNE ASBH NA BAADAE MWILI UTAPELEKWA KOROGWE KWA AJILI YA MAZIKO SIKU YA JUMAPILI.....
KWA YOYOTE MWENYE KUJISIKIA KUTOA MCHANGO/MASWALI JINSI YA KUFIKA NA MENGINEO USISITE KUWASILIANA NASII KWA

TEL 0715 609 431......J.M

0714 505 011
0718 370 685

WE LOVE U """"KIDUME""" WE LL STILL REMEMBER YOU FOREVER
BWANA AMEOTA BWANA AMETWAAA JINA LA BWANA LIBARIKIWE
 
Asante kwa ratiba na namba za mawsiliano. Hivi aliitwa kidume kwa nini?? Labda likuwa mchapakazi sana!!! Samahani lakini kama nimeenda nje ya mada, sema jina Kidume limenivutia.
 
hakuna shaka maane:hili lilikuwa jina lake la utani alilopewa na mwanae kipenzi mmoja.......na alikuwa mpenzi wa watu haswa ukibarikiwa kutotoa ""kidume"" cha mbegu aaaaaaaaaaaaswa ilikuwa furaha yake mzee yule
 
Kwa niaba ya familia ya Bw SAMWEL MBEZI tunashukuru kwa wote waliokuwa nasi katika kutufariji .. katika msiba wa mzee wetu marehemu MR samwel mbezi.....wakati tukisubiri mtoto wa marehemu anaewasili dar es salaam siku ya ijumaa tumeona tuwape RATIBA YA KINACOENDELEA

MAREHEMU SAMWEL LOUS MBEZI anatarajiwa kuagwa siku ya JUMAMOSI nyumbani kwake KIPUNGUNI...karibu na BANANA....KUANZIA MUDA WA SAA NNE ASBH NA BAADAE MWILI UTAPELEKWA KOROGWE KWA AJILI YA MAZIKO SIKU YA JUMAPILI.....
KWA YOYOTE MWENYE KUJISIKIA KUTOA MCHANGO/MASWALI JINSI YA KUFIKA NA MENGINEO USISITE KUWASILIANA NASII KWA

TEL 0715 609 431......J.M

0714 505 011
0718 370 685

WE LOVE U """"KIDUME""" WE LL STILL REMEMBER YOU FOREVER
BWANA AMEOTA BWANA AMETWAAA JINA LA BWANA LIBARIKIWE

samahani mr, ili mambo yaendelee kuflow vizuri, labda urekebishe hilo neno nililokoleza hapo kwenye quote.
Kwa mimi binafsi sikutokea kumfahamu huyu mtu.
 
BWANA AMEOTA
ahsante mtumishi wa bwana

ni

BWANA AMETOA......nashukuru kwa kuwanasi kwenye majonzi
 
Ratiba mpya

mwili wa marehemu utaagwa nyumbani kwake kesho saa tano asbh.....kipunguni na kuelekea kanisa la anglikana kwa ibada ...then mwili wa marehemu utapelekwa korogwe baada ya sala
 
Kwa marafiki wote napenda kuwajulisha kuwa shughuli za kumuandaa na kumuaga marehemu samwelmbezi zitafanyika nyumbani kwake kipunguni ukonga jumamosi ya tarehe 15agosti 2009 kuanzia saa nne asubuhi na baadaye kufuatiwa na misaitakayofanyika katika kanisa la anglikana ukonga na hatimaye safari yakuelekea korogwe itaanza kutokea hapo hapo kanisani. Mnakaribishwa nyote. Bwana ametoa - bwana ametwaa - jina lake lihimidiwe - amen
 
Back
Top Bottom