Ratiba ya maziko ya mama yetumpendwa..mama pdidy kesho saa nane

Pole sana kwa msiba mkubwa , Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu
 
mama Pdidy mungu akupe pumziko jema nasi tukuombee roho yako ikae mahala pema na sisi utuombee safari njema ya hapa duniani .... ili mwisho wote tukutane katika ufalme wa bwana
 
I can only imagine how difficult this has been, and my heart goes out to you and your family. You are so young to have to suffer such an incredible loss and while time is a healer, I know that’s of little consolation now! Pole sana Mkuu Mungu akupe nguvu.
 
Zomba angalia?? C vizuri hata utoke dar to bukoba no problem seuze kimara to mbweni??? Just kampany na kumfariji mfiwa ,, kufiwa na mama inauma jamani,,, so zomba acha kuropoka
 
Na wewe nae utoke Kimara mpaka Mbweni kuzika, huna kwenu?

Huwa si-quote post za kipuuzi kama hii lakini leo nimeamua...........Kwa hiyo wewe unawajua wenyeji wote wa mji huu? au Ukizika huko unapotaka ndio unapata thawabu? Jitahidi kuwa na adabu au huna wazazi...
 
Pole sana mkuu! MUNGU awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu. Halafu ZOMBA jiangalie sana na kauli zako! Poleni sana familia ya Pdidy.
 
Back
Top Bottom