Hii imekaaje wadau?nna mskaji wangu kaoa mzungu,eti wanaratiba ya kufanya tendo la ndoa yaani ni mara mbili kwa wiki ijumaa na jumatano,hivi kwa sie waafrika inawezekana kweli au ndo mambo ya kulazimishana uasherati!!
Mambo kwa schedule bana.Hii imekaaje wadau?nna mskaji wangu kaoa mzungu,eti wanaratiba ya kufanya tendo la ndoa yaani ni mara mbili kwa wiki ijumaa na jumatano,hivi kwa sie waafrika inawezekana kweli au ndo mambo ya kulazimishana uasherati!!
Kama wao wamekubalina kwani shida iko wapi? Acha waishi kwa ratiba!!
Pole yake. Alipokuwa anaoa mzungu hakujua hilo? Mwanamke mzungu ndiye anaye-command nyumba, ndiye mwenye maamuzi kwa kila jambo, hata tendo la ndoa. Mwanaume ni kuitikia tu. Hujafuata utaratibu wake, huna mke, yaani mnaachana kwa sababu hawapendi kuendeshwa na mwanaume awe mweusi au mzungu mwenzao. Sasa huyu bwana alalamika nini leo ? Hakumfahamu namna zake? Uzuri weupe si wanafiki, wala hawafichi kile wanachokiamini.Wako wazi kabisa. Kitu gani hakujua? Basi avumilie tu ndo ndoa yenyewe. Kama anaona ni noma basi achukue utaratibu mwingine. Lakini azungumze na mkewe kwanza na kumweleza mahitaji yake ya mwili kabla ya kuchukua hatua nyingine.sidhani kama ni makubaliano kwasababu analalamika waziwazi,sio kwangu tu washkaji wote wanaijua hiyo latiba.