RATIBA YA M4C Kwa Mikoa ya Iringa, Singida, Manyara na Dodoma

M4C ni Failure Failing to plan is planning to fail bado anguko kuu la chadema

Vua Gamba ilifia wapi?, Vua gwanda vaa uzalendo ilifia wapi? mnatumia jeshi kujaribu kuivuruga chadema lakini mtashindwa vibaya sana....
 
ilikuwa ianze jana mkoani iringa, kwa bahati mbaya bado tunaendelea kupokea vifaa bandarini kama magari, pikipiki, bendera n.k mfano tar 29 tulipokea gari 8 ndo zinawekewa lable za M4c bado ndo 2po katika mchato huo ijumaa tutakuwa tunapokea pikipiki mia mbili soon m4c itakawa hewani. Ahsante
Misaada kutoka nchi za magharibi
 
CDM hakina papara wewe m'bantu! hata nyani hufikiri kwanza kabla kabla ya kuruka. hupo hapo? halafu CDM hakuna mambo ya 'jikoni.'
 
ukisema wanatoa mizigo bandarini utawasikia wakisema cdm wameingiza meli haramu.
 
hapo bandarini inaweza fanyika umafia wa hali ya juu. zinaweza chomekwa AK47 halafu tukaambiwa CDM waingiza bunduki kutoka URUSI
 
CCM ndio iko ICU.Inasubiri kifo chake 2015 halafu ndio ipotee kabisa kwenye ulimwengu wa nchi hii kama ilivyokuwa kwa rafiki zake UNIP ya Zambia na KANU ya Kenya.
 
Back
Top Bottom