Ratiba ya hukumu kesi za ubunge

Mwana Mpotevu

Platinum Member
Sep 7, 2011
3,295
2,500
Wana JF

Baada ya Mtoto wa Mkulima na waziri mkubwa Pinda kulihujumu taifa kwa kushindwa kutupa kile tulichokitarajia wakati akiahirisha mkutano wa Bunge Idodomya, nakuja hapa na ombi maalum.

Naomba yoyote mwenye ratiba ya hukumu ya kesi za ubunge kama vile Segerea, Ubungo, Singida, sumbawanga na kokote kule ambako kumekuwa na kesi ya kupinga matokeo ya ubunge baada ya uchaguzi wa 2010, basi atuwekee hapa ili tuweze kufuatilia kwa kina matokeo ya kesi hizo na kuweza kuwa na kumbukumbu halisi.

Naamini kwamba kesi hizo zinaweza walau kutupa ahueni wale wote tunaoitakia mema nchi yetu na wale tulioumizwa na uamuzi wa serikali ya JK kulindana na kushindwa kuwajibishana kwa manufaa ya taifa.

nawasilisha
 
Ni kujipa moyo tu
 
Ni kujipa moyo tu

mkuu kesi hizi zinaweza kusaidia kuamsha upya serikali na viongozi wake kujua hasira za wananchi. mfano kama sumbawanga ccm ikipoteza jimbo na uchaguzi ukija upinzani ukitwa jimbo, huoni kama ccm inaweza kupata fundisho jingine hapa baada ya kushindwa kujifunza kutoka kilichokuwepo bungeni?
 
Ubungo mambo yako hivi:-
Jaji Msuya alisema Aprili 27, mwaka huu upande wa mdai na wadaiwa wanatakiwa kuwasilisha hoja za majumuisho ya mwisho ya kesi hiyo kabla ya kupanga tarehe ya hukumu.

Source:- Habari Leo.
Bila shaka nimemaliza Assignment ndugu.
 
aaahahahaha umejitahidi kuifanya kwa ufanisi, u deserve a B+
 
Hukumu ya Kigoma Mjini Serukamba na CHADEMA ni lini?Maana sijaona kwenye ratiba yeyote ile!
 
kumbe hii April ina hukumu mbili?? sumbawanga na singida? ubarikiwe na tuombe Mungu alete ukombozi na matumaini mapya kupitia kesi hizi
kama kuna ukweli hakuna ubishi but kama kuna KUCHAKACHUA! mjue wazi TUMEANZA NA MUNGU NA PIA TUTAIHITIMISHA NAE PIA
 
hii kesi ipo upande gani umelalia? nipe kamanda

Kama watahukumu kwa haki basi imekula kwa CCM ila magamba walivyokuwa washe***** sidhan kama M4C tutakuwa na chetu, cause hata msimamizi wa uchaguzi ametoa ushahidi kuwa alilazimishwa kumtangaza mshindi na bosi wake ambaye hakumtaja ila mshindi sahihi ni peoooooplessssss powerrrrrrrr!!!!!
 
Back
Top Bottom