mkuu kunahaja ya wao kuziacha hizo posho, ni fedha nyingi sana kwa maendeleo!Duh hili bunge la bajeti wabunge wanakuwa bungeni kwa takribani siku 97 kutokana na ratiba hii hivyo sitting allowance kwa wabunge wote ni takribani 50BILLION wananchi tunakamuliwa, duh! kweli hii nchi wanajua kutumia fedha za walipa kodi