Ratiba nzuri ya kufanya Mapenzi

Kichwa Ngumu

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
1,726
312
Sijamaliza miezi sita tangia nioe, na kwa bahati nzuri mke wangu ni mjamzito .
kila siku huwa nafanya nae mapenzi napiga bao moja au mawili;
nimewahi kusikia ukiendekeza unaweza kudhoofisha afya.
Wana JF ipi ni ratiba nzuri ya kufanya mapenzi, KARIBUNI
 
sasa hivi huhitaji ratiba wala nini,itajipanga yenyewe baada ya muda si mrefu,si unajua ndoa changa hiyo kaka
 
Tengua kauli yako yakusema nimemjaza mimba,ukweli utachoka mwenyewe na ratiba itajipanga yenyewe automaticaly!!!
 
subiri akisha zaa utamchoka tu. Hata sisi mwanzo ilikuwa hivyo lakini ratiba imetulia sasa, mara mbili kwa wiki, halafu ni bao moja tu
 
make sure Chakula bora, proteinous food, unapata za kutosha, korosha, maziwa na kumbuka sperm hutengenezwa kwa protein, kula chakula bora la sivyo utapinda sasa hivi oooohhhh
 
Hakuna formula , kama wote mkiwa na afya tosha mnaweza cheza kila siku. Ila kwa kuwa mwenzio mjamzito hamu yake inaweza pungua pia kwa miezi ya mwanzo unaweza haribu mimba, kuwa makini na acha fujo.
 
Piga 2 mara tatu kwa kutwa utaona ratiba itakavyojipanga yenyewe.
 
Piga 2 mara 3 kwa kutwa utaona ratiba itakavyojipanga yenyewe.
 
sidhani kama unaweza kupanga ratiba ya kufanya mapenzi, these things are natural, they happen so automatically dia.
 
mimi nimeoa na miaka mitano, ningependa kuwa na fanya kila siku lakini wife hamudu kwahivyo timetable imejiseti kitu kama mara moja kwa wiki!!
sasa kama unapata kila siku we furahi na endelea tu!
 
Kwa wiki x3 kwa umri wa ndoa yako ila kama ana mimba changa unaweza kumfanya mhanga wa kuharibu mimba kila mara ikawa tatizo jingine badala ya raha.

Mkifikisha miaka miwili inatakiwa x2 kwa wiki.

Mkifikisha miaka mitano mpaka kumi x1 kwa wiki inatosha sana na pia zingatia siku ambayo mkeo ana nafasi nzuri wiki hiyo ili kumuwekea mazingira ya kufurahia shughuli yenyewe siyo lazima iwe jumamosi tu kama mazoea.

Kuna mengi sana ila kwa leo haya yanatosha.
 
Ratiba itajipa tu.

Mwanzoni hata ukimtazama tu unakuwa unataka, hata kama yeye kachukia.

Baada ya miaka miwili, mpaka akufurahishe, akuchekeshe, ndio unataka.

Baada ya miaka mitano, mpaka unywe valuu/grants/zed..

Baada ya miaka kumi, mpaka uangalia porno,

Baada ya miaka 20, mpaka akudai, apige kelele, atishie kukushitaki, halafu unywe pombe na uangalie porno, ndio unampa....
 
Hakuna formula , kama wote mkiwa na afya tosha mnaweza cheza kila siku. Ila kwa kuwa mwenzio mjamzito hamu yake inaweza pungua pia kwa miezi ya mwanzo unaweza haribu mimba, kuwa makini na acha fujo.

urongo. Mimba sio raisi kuaribika kwa tendo la ndoa bwana. Kule ndani imesha hifaziwa vizuri ktk mfuko wa uzazi na umefunga, haupo wazi eti labda kusema utaenda kulikoroga au kupasua yai. heheh. Kama vile mtoto yupo ndani ya mpira, mpira auto pasuka kwa kutonya na kidole. Mungu ameumba vitu imara bwana:teeth:
 
Kwa wiki x3 kwa umri wa ndoa yako ila kama ana mimba changa unaweza kumfanya mhanga wa kuharibu mimba kila mara ikawa tatizo jingine badala ya raha.

Mkifikisha miaka miwili inatakiwa x2 kwa wiki.

Mkifikisha miaka mitano mpaka kumi x1 kwa wiki inatosha sana na pia zingatia siku ambayo mkeo ana nafasi nzuri wiki hiyo ili kumuwekea mazingira ya kufurahia shughuli yenyewe siyo lazima iwe jumamosi tu kama mazoea.

Kuna mengi sana ila kwa leo haya yanatosha.

Kuna watu wanaoana na wanaishi pamoja miaka 20 na wanafanya tendo la ndoa kila siku kama kawaida. Inategemea na upendo aise. Tabia na vitendo visivo furahisha vya sababisha kuto kuwa na ham na mwenzio kimapenzi mara kwa mara
 
Back
Top Bottom