TUMBIRI
JF-Expert Member
- May 7, 2011
- 1,933
- 1,199
Naomba kuuliza ratiba ya upande wa Zanzibar itatolewa lini?
Inasikitisha sana! Watu wana comment bila kusoma thread nzima!
TUMBIRI (Tunduru, Ruvuma - Tanzania),
tumbiri@jamiiforums.com
Naomba kuuliza ratiba ya upande wa Zanzibar itatolewa lini?
15 01/04-25/04/2013 Zanzibar Operesheni na uchaguzi
Labda nifafanue kidogo, mbona ya huku zanzibar haikupangiliwa kimajimbo kama ya huko bara? Imetajwa ki jumla tu hivi. Au niseme hivi haikupewa uzito kama ya huko bara.
Ahsante sana kama MOLEMO kwa taarifa hii nzuri inayotoa matumaini ya ukombozi wa2.
Peoles...................!
Good decision...utaratibu huu utawezesha
- kutengeneza mtandao mpana wa wanachama kuanzia ngazi ya msingi hadi kata na kutoa hamasa zaidi kwa wanachama kwa njia za mikutano.
- Ni njia muafaka ya kutengeneza mawakala imara kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa 2014 na uchaguzi mkuu 2015.
- Ni njia sahihi ya kuimarisha uhai wa chama ngazi za chini kabisa za chama na hatimaye kufikia target ya matawi zaidi ya 17,000 nchi nzima. Kwa wanachama 30 kwa kila tawi ni sawa na mabalozi 510,000 ambao watapiga kura, watalinda kura na kuhesabu kura.
- Ni njia ya kupunguza mzigo mzito kwa viongozi wa majimbo kusimamia chaguzi hizi kwani UCHAGUZI ni GHARAMA.
Makamanda, tutaonana mwezi wa 10, jimbo la Lushoto,tutegemee mapambazuko zaidi.
Heshima sana mkuu.Kamati kuu iliamua hivyo kwa maslahi ya chama kwa sababu viongozi wa makao makuu watakaokuwa kwenye operesheni watasimamia zoezi zima la uchaguzi na kila kitu kitashuhudiwa on the sport.
kwanini hili ni lazima?
kwanini hili ni lazima?
Umetoa pia wazo zuri sana mkuu.Baada ya kanda ya Kati kutakuwa na tathmini kama ratiba inavyoonyesha naamini viongozi wakuu wanaweza kuchukua ushauri wako baada ya kuona tathmini ya mwanzo imefanikiwa au la...Pamoja sana mkuu.
Molemo wewe ni nani hasa? unavotoa infos unaonekana upo ndani ya chungu cha CDM HQ vile unatoa taarifa zenye maslahi kichama na umma kwa ujumla kwanini usisomeke kwa jina lako tu halisi kama ilivo kwa makene,Kabwe au Mwita maranya? Tafadhali
Unapo taja Mkoa, unamaanisha ni pamoja na wilaya zake, au mnaishia makao makuu ya mikoa tu?????????????????????
pongezi ziwaendee waliopanga hii ratiba na kama magamba walikua wamepanga hujuma hapa lazima wachemshe
Heshima sana mkuu.Kamati kuu iliamua hivyo kwa maslahi ya chama kwa sababu viongozi wa makao makuu watakaokuwa kwenye operesheni watasimamia zoezi zima la uchaguzi na kila kitu kitashuhudiwa on the sport.