Askari Kanzu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 4,598
- 1,233
News are coming in that Ratco Mladic, wanted for the Srebrenica massacre and other war crimes in Bosnia, has been arrested in Serbia after a decade in hiding.
huyu mjina kaua sana .natamani angepelekwa mahakama za uarabuni
Mladic kajiingiza kitanzini sababu alikuwa na tabia ya kunukuu kila alichokifanya na mafaili yote aliyoyaficha yalipatikana na yameshapelekwa The Hague. Nadhani huo ushahidi uliopatikana utamwingiza matatani zaidi. Akina Mugabe waache tabia ya kunukuu dondoo (kama bado wanafanya) manaake iko siku hizo dondoo zitakuja kutumiwa kama ushahidi dhidi yao!Kisheria kesi kama hizi ni ngumu sana labda wajitoke wajeshi wenzake wawe mashahidi. Sababu huyu jamaa alikuwa kiongozi tu hakuwa mstari wa mbele.
Ni mambo hayo hayo ya kisheria na haki za binadamu ndo maana hata USA wakaamua kuyakwepa "kumpoteza"Osama.
Jamaa alikuwa mkatili sana sijui hiyo mahakama itatumia miaka mingapi nashilingi ngapi mpaa kumtia hatiani.
Nimesoma hata wanajeshi wa UN na uholanzi waliokuwa wakilinda amani walikuwa wakimuona wanatetemeka. Maana aliwaambia ingawa wao ni UN maisha yao yako mikononi mwake teh teh teh