Rasmi kwa ajili ya jukwaa la mahusiano..........

Jaluo_Nyeupe

JF-Expert Member
Dec 21, 2010
2,697
1,962
Wakuu,
baada ya kuwa msomaji wa jamvi hili kwa miaka kadhaa kwenye maswala ya siasa, sasa nimejiunga rasmi na nia ni kwenda kuleeee..... Kwenye jukwaa la mahusiano, mapenzi, urafiki...... Nadhani ndio jukwaa linalonofaa zaidi kipindi hiki ninachotafuta mchumba. Wazoefu wa kule naomba mnipokee na kama kuna single lady humu anaweza kuendelea kuni-PM kabla sijapost rasmi nia yangu ya kutaka kupata mchumba ambaye ni GREAT THINKER.
Nawasilisha.
 
wooo ma men chilax first chilax b4 u ask any girl out and b4 u ask 4 pm from single ladies ngoja ukaribishwe kwanza.Caribu ndani,i'm sure Preta will be more than happy 2 welcome u to the MMU forum
 
karibu.sijui kwa nini nimevutiwa na wewe....siui kwa vile ni mjaluo mweupe manake wengi ni weusi..:teeth::teeth::whoo:
 
omera machiegini!
 
Thank you.... but who is Preta?
 
karibu.sijui kwa nini nimevutiwa na wewe....siui kwa vile ni mjaluo mweupe manake wengi ni weusi..:teeth::teeth::whoo:

Asante roselyne1, kama umevutiwa waweza kuni-pm kama wewe ni single lady. Aaah! bana achana na mambo ya rangi we nipende mimi.
 
Wakuu,
baada ya kuwa msomaji wa jamvi hili kwa miaka kadhaa kwenye maswala ya siasa, sasa nimejiunga rasmi na nia ni kwenda kuleeee..... Kwenye jukwaa la mahusiano, mapenzi, urafiki...... Nadhani ndio jukwaa linalonofaa zaidi kipindi hiki ninachotafuta mchumba. Wazoefu wa kule naomba mnipokee na kama kuna single lady humu anaweza kuendelea kuni-PM kabla sijapost rasmi nia yangu ya kutaka kupata mchumba ambaye ni GREAT THINKER.
Nawasilisha.

unaonekana mstaarabu wewe.
Humu tutakuzingua tu. Tupo for fun zaidi. U seriouse kiduchu sana.
 
Back
Top Bottom