nuruyamnyonge
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 4,386
- 2,151
Karibu tena na mchango wako ni muhimu sana maana elimu ya kura ya maoni inaendelea ili watu wafanye maamuzi sahihi ya kuipa ridhaa Katiba inayopendekezwa,kukaa kwako kimya unaonekana mchoyo wa elimu!!
Kwa sasa nipo kamili kinjekitile! Awali ya yote nitofautiane na wewe kidogo, katiba inayopendekezwa haifai kupewa ridhaa na wananchi baada ya kunyofolewa kwa madaraka yao dhidi ya watawala.