Rasimu ya II ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

nawasalimu ndg zangu watz wenzangu naomba kama mtu anayo ile katiba ya zamani nami niisome ili nijue mapungufu yake kabla.ya kunipa hiyo mpya
 
kabla ya kufungia vtumbua naombeni na mm niipitie nione kasoro zake au maandishi hayasomeki kwa sababu ya uchakavu?
 
Ile ya babu haitumiki tena hata msalani vyoo vimejaa ha ha ha watu wanagomea hata vitumbua wanakataa kufungia inachafua mlo!!!

Mbinga1.jpg Mbinga1.jpg
kigumu chama cha mafisadi kigumu kugegedwa
 
Hivi wewe matusi yak bona hayaishi. Hebu jirekibishe ndugu ndo uwezekuendelea vizuri na forum.

Ndg yangu bmbalamwezi, kuna watu wamezaliwa wakiwa na midomo michafu ya matusi hivyo nyumani kwao mtu kama huyo wanamwona wa kawaida maana ndiyo style ya maisha wanayoishi . Hao wanaumwa ni wagonjwa wa maadili. Jamii isikate tamaa juu wa watu hao, ipo siku watageuka na kuwa watu wema watarekebishika tuu.
 
kunawakati tabia ya mtu heendana na mazingira aliyozaliwa au mazingira ambayo mama yake alibeba ujauzito wake.

kwahiyo yawezekana kijana alizaliwa chooni
 
kunawakati tabia ya mtu heendana na mazingira aliyozaliwa au mazingira ambayo mama yake alibeba ujauzito wake.

kwahiyo yawezekana kijana alizaliwa chooni

Kama huna cha kusema bora ukakaa kimya ukaheshimiwa zaidi kuliko kusema ukadharauliwa mno na jamii inayokuzunguka na ambamo unaishi. Eleweka wewe Gerald Robert maana husomeki.
 
kama mtu unatafuta msaada kutoka kwa ibilisi maanayake ni kwamba umepoteza kabisa muelekeo wa maisha, na hauamini kama Mungu anaweza kukusaidia.

Ni msiba huo
 
kama mtu unatafuta msaada kutoka kwa ibilisi maanayake ni kwamba umepoteza kabisa muelekeo wa maisha, na hauamini kama Mungu anaweza kukusaidia.

Ni msiba huo

Hujui kama Ibilisi nae ana watu wake wanaomtumikia???wewe vipi kwani anafanya kazi na upepo?tena Hakika wewe miongoni mwao!
 
mimi sio miongoni mwa hao ndiomaana sihitaji msaada wa majini.

Namfahamu vema Mungu ninayemtumikia naye ni mwaminifu kwangu.

YOHANA 8:31 Basi Yesu akawaambia wale wayahudi waliomwamini.
Ninyi mkikaa katika neno langu mmekuwa wanafunzi wangu kwelikweli. tena mtaifahamu kweli. nayo kweli itawaweka huru.

Mimi ni mtu huru situmikishwi na majini .
 
Mwamini Mungu ipo siku utafanikiwa. Siyo kwa maneno na matendo yako yaoneshe imani yako na iwe hai siku zote na amani ya Bwana Mungu iwe pamoja na wenye dhamiri hai kwa nafsi zao na taifa lake.
 
Salamu sana humu ndani! Nimemiss sana mjadala wa katiba ya wananchi lakini muda ukifika tutashusha nondo hapa tuko pamoja sana.
 
Salamu sana humu ndani! Nimemiss sana mjadala wa katiba ya wananchi lakini muda ukifika tutashusha nondo hapa tuko pamoja sana.

Karibu tena na mchango wako ni muhimu sana maana elimu ya kura ya maoni inaendelea ili watu wafanye maamuzi sahihi ya kuipa ridhaa Katiba inayopendekezwa,kukaa kwako kimya unaonekana mchoyo wa elimu!!
 
Back
Top Bottom