Rasilimali

apango

New Member
Aug 26, 2010
1
0
Tanzania ni nchi tajiri sana duniani, utendaji kazi na usimamizi wa rasilimali zake ndio mbovu. Kwenye katiba mpya napendekeza kwamba kuwe na kipengele kinachowawezesha watanzania wenyewe waweze kusimamia rasilimali zao wenyewe. Kwakuwawekea sheria wawekezaji kwamba, watuachie asilimia 80 za mapato yote yanaya patikana.papo tutakua tumeweze kusimamia vyema utajiri wetu.
 
Back
Top Bottom