Rasilimali ya gesi kusini(Mtwara vs Lindi) ikifanyiwa mchezo itawasha moto

Adharusi

JF-Expert Member
Jan 22, 2012
14,402
7,310
Watu wa kusini tuna wabunge lakini bado wanashangaa shangaa.Tunahitaji kuwa na mbunge atakae sema wananchi kwanza badala ya chama au cheo,nimeshawahi andika juu ya swala la gesi,nikataka tujifunze kutoka kisiwa cha SONGOSONGO,tunahitaji kunufahika zaidi ya umeme wa elfu tisini,zaidi ya viajira vidogovidogo.Kusini inatakiwa kubadilika bila sera ya gesi yenye kueleweka sawa na hakuna,waziri anakuja kukusanya maoni ya sera ya gesi MTWARA NA LINDI alete majibu yenye kueleweka vinginevyo hali itakua mbaya.
 
a1_Ken_Saro_Wiwa-459x350.jpg
save-ken-saro-wiwa.png
 
Usitake kuanza kutafuta visingizio, mnataka mnufaikaje? watu wa Kusini ni wavivu. Hata Serikali ikiwapa kila mtu 500 000 kila mwezi bado mtabaki kuwa nyuma tu, mbona mikoa mingine wanajitahidi na hawana chochote?

Mpaka sasa hivi hakuna Mkoa Tanzania wenye uhakika wa umeme kama huko Kusini, sasa unataka nini tena zaidi ya hapo? Chakalikeni acha kutafuta visingizio, mimi nimekaa huko unakokuita Kusini na pia ni kwetu ingawaje sijazaliwa huko na ninachoweza kusema tatizo ni utamaduni wa huko hata Serikali ifanye nini bado hamwezi kuendelea hata ikiamua kuwapa sijui shilingi ngapi kwa mwezi mtaishia tu kuwa kama waborigine wa Australia ulevi na anasa na ngoma, hamna mnachojua zaidi ya hicho, ukiishi Mtwara hakuna la maana zaidi ya ngono, sasa unataka Serikali ifanye nini?

Nilikuwa huko wakati wa mgao wa Umeme Tanzania nzima, lkn Mtwara kulikuwa hakuna mgao, Makampuni ya mafuta yako huko, Serikali inajenga VETA ili kufundisha vijana mambo ya Gesi lakini wanafunzi wote wanatoka mikoa mingine nyinyi kazi yenu ngono tu, sasa unataka Serikali iwafanyie nini zaidi ya hayo? Mnaboa sana kwa kweli ingawaje pia ni kwetu lakini kumeniboa!

usitake kuanza kutafuta visingizio, mnataka mnufaikaje? Watu wa kusini ni wavivu. Hata serikali ikiwapa kila mtu 500 000 kila mwezi bado mtabaki kuwa nyuma tu, mbona mikoa mingine wanajitahidi na hawana chochote?

Mpaka sasa hivi hakuna mkoa tanzania wenye uhakika wa umeme kama huko kusini, sasa unataka nini tena zaidi ya hapo? Chakalikeni acha kutafuta visingizio, mimi nimekaa huko unakokuita kusini na pia ni kwetu ingawaje sijazaliwa huko na ninachoweza kusema tatizo ni utamaduni wa huko hata serikali ifanye nini bado hamwezi kuendelea hata ikiamua kuwapa sijui shilingi ngapi kwa mwezi mtaishia tu kuwa kama waborigine wa australia ulevi na anasa na ngoma, hamna mnachojua zaidi ya hicho, ukiishi mtwara hakuna la maana zaidi ya ngono, sasa unataka serikali ifanye nini?

Nilikuwa huko wakati wa mgao wa umeme tanzania nzima, lkn mtwara kulikuwa hakuna mgao, makampuni ya mafuta yako huko, serikali inajenga veta ili kufundisha vijana mambo ya gesi lakini wanafunzi wote wanatoka mikoa mingine nyinyi kazi yenu ngono tu, sasa unataka serikali iwafanyie nini zaidi ya hayo? Mnaboa sana kwa kweli ingawaje pia ni kwetu lakini kumeniboa!

si kweli unayosema,mimi pia nimekaa mtwara
na juzi juzi nilikwenda kufanya audit kwenye miradi kadhaa ya maendeleo kanda ile
watu wapo,na wanajituma kisawa sawa,suala la kusema ya kwamba wamekalia ngono huko ni kukosa busara na uwezo mdogo wa kuelezea mambo,ni kweli huwez kufananisha maendeleo ya kielimu kwa sehem kama mtwara na kilimanjaro au mbeya n.k
ila kwa aliefika mtwara siku hizi za karibuni atakubaliana na mimi kwamba ni mji unaokua kwa kasi na wakazi wake ni wenye kukubali mabadiliko hayo,mji kama lindi umekaa kama linear settlement kitu kinachofanya maendeleo ya mji ule kusuasua lakini ni maeneo yenye watu na wenye moyo wa kujituma na sio uvivu kama unaousema wewe
walichokosa wale ni wawakilishi wazuri bungeni wa kuweza kuwasemea na kuwaunganisha ktk nyanja mbali mbali,mtu kama ghasia,membe,mkuchika.chikawe na wengneo ni watu waliokalia zaid matumbo yao kuliko kuipa nafasi mikoa yao hii ya kusini

napingana na wewe
 
NATMAI AYO MANENO MUYAAMBIE AYA MATAPELI MATATU NASIKIA YAKO MITAA YA UKO KUSINI NASKIA YUPO NNAPE aka VUVUZELA, KINANA aka JANGILI WA PEMBE ZA NDOV ZLIZOKAMATWA HONGKONG NA MANGULA MWIZI WA PESA ZA EPA, O.W SUBILINI KOFIA PIA CHUNVI MUUZE GESI YENU KWA MIAKA M5 MINGINE
 
Adharusi, unaonyesha unataka kushawishi watu waje kuhujumu miundmbinu ya gesi.

Nimeogopa sn kwa kauli yako kuwa waziri asipokuja kuchukua maoni hali itakuwa mbaya.

Kuna wakati Mbunge mmoja alivimbisha misuli bungeni akitaka Mwanza na Shinyanga ni lazima zionekane ki-dhahabudhahabu kwa vile dhahabu inachimbwa huko.

Tukiendekeza ukanda huo tutavuruga umoja na mshikamano wa kitaifa.

Cha maana mnachoweza kufanya ni kutumia fursa zote zitakazojitokeza kwa kuwepo rasilimali hiyo, ikiwa ni pamoja na mrahaba(au mrabaha) ili kuunyanyua mkoa wenu.
 
Last edited by a moderator:
Usitake kuanza kutafuta visingizio, mnataka mnufaikaje? watu wa Kusini ni wavivu. Hata Serikali ikiwapa kila mtu 500 000 kila mwezi bado mtabaki kuwa nyuma tu, mbona mikoa mingine wanajitahidi na hawana chochote?

Mpaka sasa hivi hakuna Mkoa Tanzania wenye uhakika wa umeme kama huko Kusini, sasa unataka nini tena zaidi ya hapo? Chakalikeni acha kutafuta visingizio, mimi nimekaa huko unakokuita Kusini na pia ni kwetu ingawaje sijazaliwa huko na ninachoweza kusema tatizo ni utamaduni wa huko hata Serikali ifanye nini bado hamwezi kuendelea hata ikiamua kuwapa sijui shilingi ngapi kwa mwezi mtaishia tu kuwa kama waborigine wa Australia ulevi na anasa na ngoma, hamna mnachojua zaidi ya hicho, ukiishi Mtwara hakuna la maana zaidi ya ngono, sasa unataka Serikali ifanye nini?

Nilikuwa huko wakati wa mgao wa Umeme Tanzania nzima, lkn Mtwara kulikuwa hakuna mgao, Makampuni ya mafuta yako huko, Serikali inajenga VETA ili kufundisha vijana mambo ya Gesi lakini wanafunzi wote wanatoka mikoa mingine nyinyi kazi yenu ngono tu, sasa unataka Serikali iwafanyie nini zaidi ya hayo? Mnaboa sana kwa kweli ingawaje pia ni kwetu lakini kumeniboa!

Nina wasiwasi na upeo wako inaonekana sio great thinker. suala la msingi jinsi gani gesi itawanufaisha wakazi wa Maeneo ya Lindi na Mtwara. hakuna sababu ya kila kitu kupelekwa bongo ndio maana hata suala la msongomano wa magari hautaisha. vijengwe viwanda na ufanyike uzalishaji katika maeneo husika ndipo uchumi wa nchi utakuwa kwa mlinganyo.
 
Namaliza MBA yangu hapa nirudi Nanyamba kuomba udiwani ili niwaokoe wana Mtwara vijijini, huyu Hawa ghasia kalewa na uwaziri, mkuchika ndo haeleweki kama mvuta bangi, huyu Membe kawa msomi mbumbumbu....

Freedom is coming tommorow in Mtwara!!!!
 
Nina wasiwasi na upeo wako inaonekana sio great thinker. suala la msingi jinsi gani gesi itawanufaisha wakazi wa Maeneo ya Lindi na Mtwara. hakuna sababu ya kila kitu kupelekwa bongo ndio maana hata suala la msongomano wa magari hautaisha. vijengwe viwanda na ufanyike uzalishaji katika maeneo husika ndipo uchumi wa nchi utakuwa kwa mlinganyo.

Sihitaji kuwa huyo unayemuita great thinker kujua kwamba kuna tatizo kwa watu wa Kusini, unasema vijengwe viwanda nani ajenge, kama sio watu wa Kusini wenyewe? mbona Mikoa mingine wanajaribu?

Na hata mtu akijitokeza mtu kuja kujenga hivyo viwanda huko, watakaofaidika sio hao watu wa Kusini bali ni wa kutoka sehemu nyingine za nchi, watu wa Kusini hawapendi kufanya kazi huo ndio ukweli, nimeishi huko hivyo nawajua sana, kwa sasa hali ilivyo Mtwara hakuna tena haja ya kuanza kutoa sababu sijui Mtwara kumesahaulika kuna kila kitu, mpaka barabara ni kama imeisha yote , hivyo unaweza hata kwenda Dar na kurudi lakini wapi, waliojaa Mtwara na kutumia hizo fursa ni watu kutoka Mikoa mingine.

Lazima ukubali watu wa Kusini wana matatizo na ni lazima hatua za makusudi zichukuliwe kuwasaidia kama kweli tunataka wafaidike na fursa zinazojitokeza ikiwa ni pamoja na kuwafundisha kwamba kuna maisha pia bila ngono na ngoma!

Usitake kuanza kutafuta visingizio, mnataka mnufaikaje? watu wa Kusini ni wavivu. Hata Serikali ikiwapa kila mtu 500 000 kila mwezi bado mtabaki kuwa nyuma tu, mbona mikoa mingine wanajitahidi na hawana chochote?

Mpaka sasa hivi hakuna Mkoa Tanzania wenye uhakika wa umeme kama huko Kusini, sasa unataka nini tena zaidi ya hapo? Chakalikeni acha kutafuta visingizio, mimi nimekaa huko unakokuita Kusini na pia ni kwetu ingawaje sijazaliwa huko na ninachoweza kusema tatizo ni utamaduni wa huko hata Serikali ifanye nini bado hamwezi kuendelea hata ikiamua kuwapa sijui shilingi ngapi kwa mwezi mtaishia tu kuwa kama waborigine wa Australia ulevi na anasa na ngoma, hamna mnachojua zaidi ya hicho, ukiishi Mtwara hakuna la maana zaidi ya ngono, sasa unataka Serikali ifanye nini?

Nilikuwa huko wakati wa mgao wa Umeme Tanzania nzima, lkn Mtwara kulikuwa hakuna mgao, Makampuni ya mafuta yako huko, Serikali inajenga VETA ili kufundisha vijana mambo ya Gesi lakini wanafunzi wote wanatoka mikoa mingine nyinyi kazi yenu ngono tu, sasa unataka Serikali iwafanyie nini zaidi ya hayo? Mnaboa sana kwa kweli ingawaje pia ni kwetu lakini kumeniboa!

Kuna kaiukweli kwa watu wa pwani kuwa na tabia ya uvivu,na hii si kwa mtwara na lindi tu bali hata hapa jijini Dar es salaam,Tanga *hata kule visiwani issue zao zina fanana(warith wa desturi za wa-arabu),lakini wana kusini binafsi nita watetea kiwango fulani na kuishutumu serikali kwa kuwa sahau watu kwa kuto wapelekea fursa ambazo zingeweza kuvuta watu toka bara(sukuma,haya ,nyamwezi,chaga etc)ambao huenda wangetia joto na changamoto na mwamko kuongezeka,
* * *Fursa wanazo jitahidi kuzipeleka sasa(km,uboreswaji wa miundo ya barabara,kiwanda cha simenti,uchimbaji wa mafuta/gesi,nk) hivi vingewekwa kipindi tunarundika ma viwanda hapa dar es salaam na kusababisha msongamano wa watu hapa kumbe wengine wangeenda kusini kama wanavyo hamia sasa kwa kasi mpaka miji hiyo nyakati fulani ina gharama kubwa za maisha kuliko hapa DAR,
* * *Sa hizi tungekuwa tunaongelea viwanda vilivyokufa kusini kama tunvyo ongelea TANGA,ARUSHA,NA HAPA JIJINI.
HITIMISHO: pwani yote tabia zao zina fanana suala la wapi pa kuwe kima endeleo na wapi pazubae serikali inahusika kwa kiwango kikubwa,Miaka yoote Bandari ya kusini imetelekezwa tunakwenda jenga bandari mpya BAGAMOYO,unafikiri mji wa bagamoyo wenye bandari kubwa ya kisasa utahitaji miaka mingapi kuwa mji wa kibiashara?,bila kujali wenyeji kuwa wavivu,kwa nini watu wa kusini hawakupewa haya mpaka mmeona gesi ndo mnasogea kwa aibu.Nafikiri Fursa za za vipaumbele na uwekezaji wa miradi vichocheo kwa mikoa vina jazwa sana sehemu moja na kupelekea sehemu nyingine kusinyaa mbali na juhudi za wenyeji husika.*
 
SISTA naheshimu mawazo yako lakini nakuomba utoe hoja,sio kusemasema tu,mkoa gani hawafanyi ngono,nimebahatika kuhishi mikoa mingi Tanzania,dar kuna madanguro mengi tu,niambie kusini wapi kuna madanguro,nenda Mwanza,ARUSHA,PUNGUZA KUTUKANA DADA ZAKO,naomba uniPM, NIKUJUZE VIZURI
 
Wakileta ujanja ujanja yatatokea ya Cabinda na Niger Delta

si umemwona Xi Jinping kasaini mikataba baada ya kutia timu Tz ?
 
Usitake kuanza kutafuta visingizio, mnataka mnufaikaje? watu wa Kusini ni wavivu. Hata Serikali ikiwapa kila mtu 500 000 kila mwezi bado mtabaki kuwa nyuma tu, mbona mikoa mingine wanajitahidi na hawana chochote?Mpaka sasa hivi hakuna Mkoa Tanzania wenye uhakika wa umeme kama huko Kusini, sasa unataka nini tena zaidi ya hapo? Chakalikeni acha kutafuta visingizio, mimi nimekaa huko unakokuita Kusini na pia ni kwetu ingawaje sijazaliwa huko na ninachoweza kusema tatizo ni utamaduni wa huko hata Serikali ifanye nini bado hamwezi kuendelea hata ikiamua kuwapa sijui shilingi ngapi kwa mwezi mtaishia tu kuwa kama waborigine wa Australia ulevi na anasa na ngoma, hamna mnachojua zaidi ya hicho, ukiishi Mtwara hakuna la maana zaidi ya ngono, sasa unataka Serikali ifanye nini?Nilikuwa huko wakati wa mgao wa Umeme Tanzania nzima, lkn Mtwara kulikuwa hakuna mgao, Makampuni ya mafuta yako huko, Serikali inajenga VETA ili kufundisha vijana mambo ya Gesi lakini wanafunzi wote wanatoka mikoa mingine nyinyi kazi yenu ngono tu, sasa unataka Serikali iwafanyie nini zaidi ya hayo? Mnaboa sana kwa kweli ingawaje pia ni kwetu lakini kumeniboa!
Mkuu mipango ikiwa mizuri hata bila kuchcharika sana maisha bora inawezekana mfano mzuri ni dubai yaani si kwamba waarabu wanatumia musuli sana isipokuwa nchi ina mikakati fresh na kila mtu anaishi vizuri. So hata kusini nchi ikipata kiongozi mzuri watu wa mtwara watakula bata tu
 
nimekaa kusini pale mtwara kinachodumaza maendeleo maeneo ya kule ni wananchi kuchaguwa viongozi wasio wazalendo na upeo mdogo wakuchambuwa mambo, mfano mtwara mjini pale wabunge waliopita wote awajielewi
 
Sio kweli kijakazi,watu wa kusini wanajituma sana katika kazi bt serikali ndio inawaangusha,mfano inshu za korosho wanaichi wamekopesha mda mrefu bt hadi leo malipo bado,na hiyo pesa ndiyo wakiyokuwa wanaitegemea kwa ajiri ya kusomeshd watoto,kulimia mazao mengine ya chakula na n.k.... Sasa unategemea maishd yataenda vipi?
 
Back
Top Bottom