Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,475
- 39,991
- Thread starter
- #41
Mimi tatizo langu ni RO.. wananchi wakimkataa na kuonesha ni kwanini hastahili kushikilia nafasi hiyo itatokea siku tutalia kilio cha mbweha!
Mimi tatizo langu ni RO.. wananchi wakimkataa na kuonesha ni kwanini hastahili kushikilia nafasi hiyo itatokea siku tutalia kilio cha mbweha!
Kashfa ya nyumba ubalozini(UK) ilikuwa wakati RO yuko kule sio?
Hivi wakuu wa huko london, ni kweli kwamba hiyo nyumba mpaka leo kuwa iko mikononi mwa homeless wa kizungu, ambao sheria za huko zinawaruhusu kuingia na kuichukua nyumba yoyote ambayo ni abandoned?
Nasikia hata mahakamani tumeshindwa maana ni haki yao kuihsi humo, tena according to the dataz, ni nyumba pekee ambayo iko kwa matajiri, lakini haina usafi wala umeme, tena wazungu wa huko nasikia wanatulaaani sana on this house!
Jamani kuna anyeweza kuzithibitisha hizi info?
Hadi gazeti la Guardian litutangazie kuwa Waziri wetu ameficha Bilioni kisiwani Jersey (thanks Yebox2) wao kina RO walikuwa wapi?
Hadi Kamati Teule ilipotuambia rasmi kuwa RDC ni kampuni hewa RO na timu yake walikuwa wapi?
Niendelee kuorodhesha ushahidi wa uzembe uliokithiri na uvivu wa kufikiri wa taasisi nyeti ya Usalama wa Taifa? Kama wameshindwa kugundua matukio ya economic sabotage yanayoendelea nchini wana faida gani? Hii ya kusafiri na Rais na kutumia vi ear pieces na makoti marefu kama vile wao Secret Service?
Rashid Othman ajiuzulu kwa ajili ya Usalama wa Taifa!!!
yes I said it!
Hivi wakuu wa huko london, ni kweli kwamba hiyo nyumba mpaka leo kuwa iko mikononi mwa homeless wa kizungu, ambao sheria za huko zinawaruhusu kuingia na kuichukua nyumba yoyote ambayo ni abandoned?
Nasikia hata mahakamani tumeshindwa maana ni haki yao kuihsi humo, tena according to the dataz, ni nyumba pekee ambayo iko kwa matajiri, lakini haina usafi wala umeme, tena wazungu wa huko nasikia wanatulaaani sana on this house!
Jamani kuna anyeweza kuzithibitisha hizi info?
I got a story to tell about Usalama wa Taifa.
In early 80's we had a birthday party at home, Muziki ulikuwa unatwanga kwenye kinu cha wati 100, tumekaa tunaserebuka, ghafla bin vup, likaingia gari wakashuka jamaa wawili. Wakauliza Mzee mwenye nyumba yupo wapi? tukampeleka kwa Mzee Kishoka.
Sikujua kilichotokea mpaka miaka 12 baadaye, wakati Mzee Kishoka tunapiga stori akanikumbusha ile party ya Bafudei! Akaniambia "unajua ni nani wale waliokuja siku ile?" nikamwambia sijui. Akaniambia wale jamaa walikuwa jamaa wa Usalama wa Taifa. Walikuja kuuliza ni wapi Mzee Kishoka alitoa Kinu chenye kutwanga Mziki kwa nguvu kiasi hicho, wakadai mpaka stakabadhi, kisha wakaondoka.
Sasa ikiwa sauti kubwa ya mziki na pati ya watoto iliwaleta Usalama wa Taifa nyumbani kwetu, inakuwaje "vijisenti" vimewapita kando?
Hii lazima ilikuwa kipindi cha Nyerere...
Kuna tatizo hapa kumuita JK mnafiki na faidhina au baladhuli mkubwa kwa watanzania??
Maana kama yeye anajifanya kuliutubia Taifa na kujifanya anaelezea hali ya Taifa huku akijua wazi ukweli na mambo yanayoendelea, huu si ndio unafiki wenyewe
Poor Jakaya Mrisho Kikwete, nimesema na narudia tena Kikwete ni Mnafiki kwa wananchi wake, hata mjinga atagundua, wewe kwa skendo zote hizi lakini jamaa anajifanya haoni na kuishia kuunda vijikamati vya kipumbavu tu
Haya kama anapita hapa aone maneno yangu, au akina Shy na kadampinzani mkamueleze kuwa
Baba H anasema umeshindwa tena sana hata miaka miwili bado, na wewe ni mnafiki kwa wananchi wako
Shame on you Kikwete