KakindoMaster
JF-Expert Member
- Dec 5, 2006
- 1,356
- 88
Urais sio lelemama leo hii tunayaona. Kila kona ya nchi kunanuka rushwa na uvundo wa kila aina.
Jk ameamua kuwa waziri wa mambo ya nje basi.
Next time tunahitaji rais wa tanzania

Hivi chimbuko la kuporomoka kwa ufanisi wa TISS ni nani hasa?
Na ilikuwaje RO akawaruka wakuu wa vitengo kadhaa TISS(wengine wako very competent) mpaka kupewa uDG pamoja na kuwa alikuwa nje ya nchi kwa zaidi ya miaka 8 1/2, kipi kikubwa alichofanya alivyokuwa Zanzibar na Uingereza?
Jk ameamua kuwa waziri wa mambo ya nje basi.
Next time tunahitaji rais wa tanzania
kwa ukaribu waliokuwa nao muungwana na rashidi tena wakubadilishana mabibi tangu zanzibar hadi london...kila mtu baada ya jk kuteuliwa tu alijua rashid anapanda ..pamoja na kuwa senior hakuwa director....na hata kabla ya uchaguzi jamaa alirudi ..na watu wakajua yametimia.....mara tu baada ya jamaa kuingia ...jamaa ikawa wazi amehamishiwa nyumbani toka london...huku akiwa amewakuta wakurugenzi wengi tu wa vitengo...baada ya yule jamaa aliyekuwa akitarajiwa kuukwaa UKUU WA IDARA ...kufariki katika hali ya utata ghafla...jamaa hapo hapo akapewa UKAIMU wa idara aliyokuwa akiiongoza yule [WN].....NA mara ghafla UKUU.....
..HUYU jamaa kuingia ame demoralize watu kwa kuwa kama yeye alivyobebwa na yeye amewabeba watu wasiojua kazi kama yeye ..ndio wamemzunguka...wanaojua kupiga kazi wapo kando wanaangalia....kazi kweli kweli!!!
MARK MWANDOSYA ameapa kutosubiri 2015...amedhamiria kuondoa utamaduni wa "kumwachia mwenyekiti"..kwa kuwa tayari ndani ya ccm kuna watu wa ndani wanaamini kuwa kuna kila dalili miaka kumi itakuwa mingi mno kikwete kuweza kuhimili..dhahiri kuna kila dalili kuwa anahitaji msaada...ameelemewa kabisa.......hata miaka 2.5 bado!!!!
nimeambiwa ati JK yeye "anaangalia" yanayoendelea na anasema kuzungumzia ufisadi ni health kwa Taifa. Na ya kuwa everything is under control. Msiwe na wasiwasi JK anajua analolifanya (whatever this means)
Huyu najua ni Engineer hawezi kuona mambo yanaenda hivi akamwonea aibu. Ukweli Jk amenikatisha tamaa maana wanaojua kuwa nilikuwa shabiki wake wananikomesha sana siku hizi.
Nimeisha nyamaza baada ya kutuacha njia panda. Ninafikiri may be Jk hana mpango wa kugombea tena. Maana anaonekana akiwa hana wasiwasi katika maswala yanayotokea.
Hivi anataka na kibaki apate ujiko Tanzania kama yeye alivyopata kenya?
nimeambiwa ati JK yeye "anaangalia" yanayoendelea na anasema kuzungumzia ufisadi ni health kwa Taifa. Na ya kuwa everything is under control. Msiwe na wasiwasi JK anajua analolifanya (whatever this means)
kwa ukaribu waliokuwa nao muungwana na rashidi tena wakubadilishana mabibi tangu zanzibar hadi london...kila mtu baada ya jk kuteuliwa tu alijua rashid anapanda ..pamoja na kuwa senior hakuwa director....na hata kabla ya uchaguzi jamaa alirudi ..na watu wakajua yametimia.....mara tu baada ya jamaa kuingia ...jamaa ikawa wazi amehamishiwa nyumbani toka london...huku akiwa amewakuta wakurugenzi wengi tu wa vitengo...baada ya yule jamaa aliyekuwa akitarajiwa kuukwaa UKUU WA IDARA ...kufariki katika hali ya utata ghafla...jamaa hapo hapo akapewa UKAIMU wa idara aliyokuwa akiiongoza yule [WN].....NA mara ghafla UKUU.....
..HUYU jamaa kuingia ame demoralize watu kwa kuwa kama yeye alivyobebwa na yeye amewabeba watu wasiojua kazi kama yeye ..ndio wamemzunguka...wanaojua kupiga kazi wapo kando wanaangalia....kazi kweli kweli!!!
...ni kweli kabisa mjj upo right ..ukweli jk anaona hoja za ufisadi zinamsaidia kupumua ...kwani zinateka mawazo ya wananchi wa kawaida na kwa kiasi kikubwa saasa hakuna mwananchi anayekumbuka AHADI ZAKE LUKUKI ALIZOTOA.......hoja za ufisadi zinamsaidia rais kuelea kisiasa hasa baada ya kushindwa kabisa kutuongoza kuleta maendeleo ya maana tangu aingie zaidi ya maneno tuuuuuu!!!...

Kashfa ya nyumba ubalozini(UK) ilikuwa wakati RO yuko kule sio?
Kuna mtu yoyote anajua record ya huyu mkulu alivyokuwa Zanzibar?
Hadi gazeti la Guardian litutangazie kuwa Waziri wetu ameficha Bilioni kisiwani Jersey (thanks Yebox2) wao kina RO walikuwa wapi?
Hadi Kamati Teule ilipotuambia rasmi kuwa RDC ni kampuni hewa RO na timu yake walikuwa wapi?
Niendelee kuorodhesha ushahidi wa uzembe uliokithiri na uvivu wa kufikiri wa taasisi nyeti ya Usalama wa Taifa? Kama wameshindwa kugundua matukio ya economic sabotage yanayoendelea nchini wana faida gani? Hii ya kusafiri na Rais na kutumia vi ear pieces na makoti marefu kama vile wao Secret Service?
Rashid Othman ajiuzulu kwa ajili ya Usalama wa Taifa!!!
yes I said it!