Joeli
JF-Expert Member
- Apr 25, 2011
- 4,941
- 3,402
Jana jioni nimetumia modem yangu ya zte ya voda kama kawa kudownload movies kwa proxy! Usiku huu nimeichomeka najaribu kuconnect mobile broadband inaniletea error 635. Nikahisi jamaa washainasa line yangu. Nikatumia line tofauti, same thing. Nikaweka modem kwenye laptop nyingine, tatizo lilelile. Nikaamua ku uninstall dashboard ili ni install upya, sasa haiwi detected kwenye laptop yangu. Ila kwenye laptop nyingine inaonekana. Help asap