Rangi za Uongozi wa Jumuiya ya Wanawake wa CCM-CWT?

Wivu tu unakumaliza kwa vile shule za st.... zinapiga fimbo madrassa kama wamesimama kwenye mitihani ya kitaifa. Kaangalie matokeo ya mtihani na ulinganishe kinondoni muslim (na ndugu zake) vs shule zinazoanzia St.... ndiyo ujue ukweli wa mambo

Angalia PhD feki walivyojazana wakristo aibu, hizo shule za kipuuzi nani aone wivu, wakristo wanapenda kupendelewa na vya deso deso ..st mary si unasikia wanavyonunua mitihani waizarani shame
 
Mbona Mnakimbia hoja?

sijaongea suala la ubaguzi ila Wengi naona mmeonesha madhara makubwa ya ubaguzi..mkianza kubaguana kwa dini basi mtabaguana kwa elimu.

Mie nimeuliza tu swali ..

Mie nilitaka kujua hawa walichaguliwaje au imetokea kama bahati nzuri kuwa wote wanatoka sehemu moja?

tujadili hoja na tuache kuleta vioja na kupeana na vijembe
 
uongozi wa juu wa CWT
  1. Sophia Simba-Mwenyekiti
  2. Asha Bakari- Makamu Mwenyekiti
  3. Husna-Katibu ambaye mama Simba Hamtaki
wajumbe wa kamati kuu ya Jumuia ya wanawake wa CCM

  1. Shamsa Mwangunga
  2. Hawa Ghasia
  3. Zainabu Mwamwindi
  4. Furahia Abdallah
  5. Fatuma Tawafiq
  6. Lucy Mayenga
  7. Lediana Mng’ong’o
  8. Subira Mohamed
  9. Zainabu Shomari.

  1. Hiyo nidyo safu kuu..Sipendi kuwa mnafiki,mbona imejaa watu wa alama nyekundu?
politics is kind of wind proffesional, hao wasio na rangi nyekundu wamekula nodo zao na wa na kazi za maana
 
lete hoja ya msingi acha udini wewe, na unavyoweka rangi nyekundu maana yake nini?hatari?kwa nini usitumie bluu au rangi ingine? hii inaonesha jinsi mawazo yako yalivyokua finyu
 
watu wa alama nyekundu ndio wa aina gani??anyone educate me please.
 
Mbona Mnakimbia hoja?

sijaongea suala la ubaguzi ila Wengi naona mmeonesha madhara makubwa ya ubaguzi..mkianza kubaguana kwa dini basi mtabaguana kwa elimu.

Mie nimeuliza tu swali ..

Mie nilitaka kujua hawa walichaguliwaje au imetokea kama bahati nzuri kuwa wote wanatoka sehemu moja?

tujadili hoja na tuache kuleta vioja na kupeana na vijembe

Mbona umechagua Umoja wa wakina mama pekee? tuonyeshe rangi nyekundu kutoka TRA au mahakama kuu nk...
 
Mnaisahau historia. Hata TAA halafu TANU na baadaye CCM ilianzishwa na "waswahili" wengi tu.

Niwajinga hawajui wasemalo, Yesu awasamehe, Pia hawajui kuwa nchi hii majority ni waislam (CIA Report)

chagushangaza sio UWT wamejaa waswahili! tatizo ni kwa nini waislam au waswahili ni wachache sehemu nyingine?

Kwanini msiende kampuni ya Chadema mkaanzishe UWT yenu mkewe Dr. Slaa awe M/Kiti, Mbowe,,, shit
 
Niwajinga hawajui wasemalo, Yesu awasamehe, Pia hawajui kuwa nchi hii majority ni waislam (CIA Report)

Leo CIA sio makafiri tena kwa vile wamesema kuwa waislam wengi Tanzania?

Kesho CIA wakisema kuwa somalia kumejaa magaidi unaanza kutoa mipovu

chagushangaza sio UWT wamejaa waswahili! tatizo ni kwa nini waislam au waswahili ni wachache sehemu nyingine?

Shule ni tatizo kubwa sana!

Kwanini msiende kampuni ya Chadema mkaanzishe UWT yenu mkewe Dr. Slaa awe M/Kiti, Mbowe,,, shit

Hapa sasa umejionesha jinsi ulivyo
 
Leo CIA sio makafiri tena kwa vile wamesema kuwa waislam wengi Tanzania?

Kesho CIA wakisema kuwa somalia kumejaa magaidi unaanza kutoa mipovu

Nikikuletea Qur'ani utaiamini? tunaelewa waislam niwengi kabla ya CIA report, hiyo nimekuletea wewe unae muamini mzungu kila asemacho

Shule ni tatizo kubwa sana!

Tumewaona na vyeti feki ni nyie, nchi tuliaachia mkaisambaratisha, hamjui nyie ni vihiyo?

Hapa sasa umejionesha jinsi ulivyo

Yes! That is me, always
 
Nikikuletea Qur'ani utaiamini? tunaelewa waislam niwengi kabla ya CIA report, hiyo nimekuletea wewe unae muamini mzungu kila asemacho

mumeyaelewa wapi? makabila makubwa Tanzania ya wasukuma, wahaya, wanyakyusa, wachaga, nk yana waislam kwa kiwango gani?

Tumewaona na vyeti feki ni nyie, nchi tuliaachia mkaisambaratisha, hamjui nyie ni vihiyo?

Unaweza kuniwekea matokeo ya kinondoni muslim (na shule zingine za madrassa) ili niyalinganishe na matokeo ya shule za kiseminari?

Yes! That is me, always

Ingekuwa kali zaidi kama ungeandika kwa kiarabu hapo juu (lugha ya madrassa) badala ya kingereza (lugha ya makafiri) au wewe waonaje?
 
uongozi wa juu wa CWT
  1. Sophia Simba-Mwenyekiti
  2. Asha Bakari- Makamu Mwenyekiti
  3. Husna-Katibu ambaye mama Simba Hamtaki

wajumbe wa kamati kuu ya Jumuia ya wanawake wa CCM
  1. Shamsa Mwangunga
  2. Hawa Ghasia
  3. Zainabu Mwamwindi
  4. Furahia Abdallah
  5. Fatuma Tawafiq
  6. Lucy Mayenga
  7. Lediana Mng’ong’o
  8. Subira Mohamed
  9. Zainabu Shomari.

    Hiyo nidyo safu kuu..Sipendi kuwa mnafiki,mbona imejaa watu wa alama nyekundu?

Umenoa mkuu wangu, Sophia Simba ni wa rangi ya bluu, katafiti zaidi. Thread inaashiria UDINI MTUPU.
 
Back
Top Bottom