range rover (1997-1999), naomba ushauri

Goldman

JF-Expert Member
Dec 10, 2010
1,930
2,397
kwa wale wenye idea na magari, ninataka gari inayoweza kwenda rough road na iwe ya bei cheap nikaona range rover (1997-1999) iko cheap CIF, ila bado sijajua ushuru wake. Ushauri naoumba ni kuhusu spare kama zinapatikana na je ni gari ambalo nikitaka kwenda Kigoma ntaanza safari bila mashaka(durability)! Kuhusu ulaji wa mafuta its ok najua litabwia but as long as ni gari la kazi its ok. Ntashukuru sana kwa maoni yenu.
 
mmmh. papito how cheap is cheap to you? Range Rover is an expensive car,

sometime bei ikishushwa sana kwa kitu cha bei ya juu sio dalili mbaya ya kubambikwa?

si tafuta hata 4 wheel drive ya miaka ya karibuni. enways ngoja wajuao magari waje walonge.
 
:)

Mkuu, kuku anakula sawa na mdomo yake.

Range Rove is an Excellent Car, but is a High Maintenance Car. Both Spares, Fuel Consumption and Services. Ila ni gari ya kuaminika next to none. Nimetumia sana magari ya Kijapani huko nyuma lakini sasa hivi katika fleet yangu sina hata gari moja ya Kijapani.

I am telling you try Range Rover; Jeep; BMW and Mercedes, these are Excellent cars in terms of really comfort and reliability.

Kama mfuko wako hautoshi, go for Japanese Cars. European car are meant for you only and people who love their tests, siku ukiamua kuuza haziuziki kwani no body knows their tests watu wanayaogopa because wamezoea Japanese Cars.
 
mdau kwa range rover hiyo ushuru ni kama 22,700,000 tu kwa bei ya sasa hata kama utakuwa umepewa bure huko japan au uk
 
:)

Mkuu, kuku anakula sawa na mdomo yake.

Range Rove is an Excellent Car, but is a High Maintenance Car. Both Spares, Fuel Consumption and Services. Ila ni gari ya kuaminika next to none. Nimetumia sana magari ya Kijapani huko nyuma lakini sasa hivi katika fleet yangu sina hata gari moja ya Kijapani.

I am telling you try Range Rover; Jeep; BMW and Mercedes, these are Excellent cars in terms of really comfort and reliability.

Kama mfuko wako hautoshi, go for Japanese Cars. European car are meant for you only and people who love their tests, siku ukiamua kuuza haziuziki kwani no body knows their tests watu wanayaogopa because wamezoea Japanese Cars.

Allien inaonyasha unauzoefu wa hizi gari na hisi hata namna ya kupa gari nzuri waweza kushauli.
Vipi Range Rover Sport 2.7cc Diesel engine ya mwaka kati ya 2004 hadi 2006 waweza kunisaidia kuniunganisha na mtu ambaye anayo?
 
Back
Top Bottom