Ranchi ya ngombe songea;mkurugenzi miwgira meneja mke wa mwingira..tutafika??yesu tusaidie

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,144
Ndugu wapendwa ktkt bwana
wakati waumini wa makanisa mbali mbali wakiangaika kutafuta nauli za kwenda ibadani..,mtume na nabii mwingira amekuwa akiombwa kununua usafiri kwa ajili ya watumishi wake kuja na kurudi at least kuondoa adha ya wapendwa kutembea mpaka ubungo....

Narudi Songea;Mh Mtume na Nabii Mwingira unaweza kutueleza ile ranchi ya ngombe ilio kule songea ya jina la efatha iweje mkurugenzi wewe na meneja wa ranchi mama mwingira...je hii ranci ni ya efatha ama familia ya mwingira..unajua mtumishi ndio pale tunarusi kuuliza n kweli unaweza ona babu anakula 500 kwa siku kama laki 2..lakini unaona watu wanakiri uponyaji ..sasa turudi kule songea ambako tangu nianze kusali efatha nina miaka 2.5 sijawahi sikia matumizi na mapato ya ranchi ya efatha..nafikiri watumishi wanaitaj kujua kinachopatikana na si kupigwa geresha

Ajabu nilishangaa sana siku waziri mkuu pinda anashirikia kampen za kuchanguia mfuko wa songea ukatoa MILLION kUMI KASH na huku watumishi wako wakikosa nauli na kulilia hata kabasi cha kuwapeleka pale ubungo..embu tuwaangalie wenzetu jaman tusiwe wakina RAIS GABGO ...unaweza kuwa gabgo huku ukiwa kanisan...mwisho nashauri mpendwa jitahdi uwe unahubiri NENO LA MUNGU na si story za babu kama babu tumechoka kwenye magazeti zinatutosha..inashangaza unatangaza waumini wachunguzane mbona kwenye kupona wasiambiane???

NI VIZURI KANISA KUWA NA KITEGA UCCHUMI LAKINI UMILIKI WA VITEGA UCHUMI KWA JINA LA FAMILIA ZA WACHUNGAJI NAOMBA UFE ITAPENDEZA ZAID NA ZAIDI KUWAPA MATUMAINI WAUMINI..PIA KILA MNACHOKIANZISHA EMBU WAUMINI FUNGUKEN KUULIZIA KINACHOENDELEA..HIZI NI SADAKA ZENU ATI MNA HAKI YA KUHOJI NA KUULIZA KINACHOENDELEA MWISHO WA SIKU MTASIKIA UWANJA WA EFATHA MWENGE UMEUZWA MNAKUMBANA NA KIBAO CHA

TUMAHAMIA

SONGEA
 
Ina jina la kanisa lakini wamiliki bw na bibi mwingira
 
Nafikiri hiyo na investment yake binafsi pia nafikiri ana mashamba ya mazao, lile ni jasho lake we ulitaka akuweke meneja wewe? acheni huo upupu
 
Ina jina la kanisa lakini wamiliki bw na bibi mwingira

.
Kuna pia na ka-bank kwa jina la kanisa, sasa sijui kama ni mali ya kanisa ama ni ya familia.
Ukifuatilia masuala ya kodi ndio utakuta kuna msamaha unaoruhusika kisheria kama mali za jumuia ya kidini bali ukweli ni za familia.
Ngoja ninyamaze maana nikiulizwa serikali yenyewe iliyopaswa kuchukua hiyo kodi imenyamaza japo inafahamu dael lote wewe kinakuuma nini?
Maji yapo, dawa zipo, shule zipo, nyongeza ya mishara ipo bado tu hutaki kukubali tu kwamba Mungu ana watu maalumu anaowaheshimu kuliko wengine na swali hakuna???
Kwamba chake ni chake ila chenu ni cha wote.
.
 
Uliza wakati wanasajili TRENET majina yaliyopelekwa huko hadi yakarudishwa mara tatu
 
Back
Top Bottom