Jemedari Kalundi
Member
- Feb 17, 2012
- 26
- 1
Msiba mkubwa wa taifa letu, hawa wameacha wajane na yatima, je formular gani inatumika katika serikari kutoa rambirambi maana tumeshuhudia mamilioni yakitolewa kama rambirambi rasmi, utaratibu ni ipi mpaka sasa