Rambirambi Toka Fungate!!!

Ms Judith

JF-Expert Member
Dec 24, 2010
2,563
918
wapendwa,

poleni sana na msiba mkubwa wa mh. Regia. siku niliyofunga ndoa ndiyo siku aliyofariki na nilipata habari nikiwa salon nikiandaliwa kwa ajili ya harusi yangu, niliumia, lakini sikuwa na la kufanya.

tumuombe raha ya milele mpendwa wetu.

kwa leo natoa pole tu, Mungu akipeenda tutakuwa tena pamoja hapa jamvini very soon.

RIP Regia,

mbarikiwe sana wapendwa

Glory to God!
 
Ni habari nzuri dear... Nakutakia kila la Kheri katika ndoa yako.


Pole pia na Misiba ulosikia.

Best of Luck.
 
Hongera sana miss Judith, pole pia na wewe! Mie nakutakia kila lakheri katika ndoa yako. Ubarikiwe sana pia!
 
Ni habari nzuri dear... Nakutakia kila la Kheri katika ndoa yako.


Pole pia na Misiba ulosikia.

Best of Luck.

Sweetie si wajua hii ndoa tulikuwa tumepania sana tuhudhurie? Basi tu mipango ya Mungu

Hongera Judith
 
hongera sana dada judy.ila ondoa kale ka- miss mwanzoni mwa jina lako.halafu zima hako ka lap-top au ki- black berry bana and 'get busy'!kweli utaimiss j.f ila utaikuta tu,hebu usianze makwazo 'asubuhi asubuhi' hivi...lo!hongera sanaaa
 
Gud newz!hongera sn mamito kwa kufanikisha haruc yako!pole na ww pia,tunakuombea kila la heri na maisha ya aman kwenye ndoa yako!
 
Congrats kumbe ushafunga ndoa Miss Judith sasa inabidi ubadili jina kutoka Miss Judith kwenda sijui Mrs Judith
Baraka tele ziwepo katika ndoa yako Amen,
 
hongera mamito M/Mungu ajaze amani/furaha/upendo katika familia yako....pole nawe kwa msiba
 
Asante, kazi ya Mungu japo ni ngumu kukubaliana na ukweli. Nakutakia mafanikio mema katika ndoa yenu
 
pole na hongera, fungate huko bibie usiniangushe somo yako
 
Dah! nikazani Miss Judith anatania kumbe ashataifishwa kweli?
sasa Miss Judith atakuwa hajibu tena PM zetu maskini. Imekula kwetu

hongeleni bana

Kujibu atajibu, ila aina ya majibu ndo itabadilika...huenda yakawa kinyume na yale mliyoyazoea.
 
MJ,
Hongera kutoka moyoni!
Mara ya mwisho nilikushauri kuwa MFUMO DUME UPO, nakuomba usidharau hilo!..Hakuna usawa kwenye ndoa!
 
Back
Top Bottom