Ramani za nyumba

khauka

Senior Member
Jan 26, 2011
100
4
Kwa wanao hitaji ramani za nyumba tuwasiliane 0715321662, mimi ni mchoraji wa hizo ramani.. From Ardhi University
NB: kama hauna nia tafadhali usiwe msumbufu
 
Unao muhuri?? Maana wengine wanachora ramani kisha ukatafute muhuri kwengine.
Na unachora kwa bei gani??
 
Mimi sina muhuri binafsi ila ninaofanya na mtu mwenye muhuri hadi hadi hapo atakaponiptisha kwa board ili na mimi nipate wakwangu.. sijui kama umenielewa ila ndio field yetu hii ya ujenzi ndio inavyoenda kwa sasa natakiwa nifante kazi chini ya mtu kwa muda flan, Hivyo swala la muhuri sio tatizo. Bei inategemea na aina ya jengo kama ni residential au comercial au nyumba ya chini au ya juu..
Thanks 4 asking
 
1.jpg 2.jpg 3.jpg 7.JPG 10.JPG 8.JPG 9.JPG 6.JPG
 
Naona wadau tumenogewa. Kiongozi nakupigia muda si mrefu unipe mchakato!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom