Ramani ya nyumba

Isimilo

JF-Expert Member
Aug 16, 2007
217
6
jamani wana JF. Kuna jamaa kaomba nimsaidie kupata ramani ya nyumba. hivi wape naweza kwenda kununua (kwa kuchagua) ramani ya nyumba complete ambayo imefanyiwa tathmini ya ujenzi hadi mwisho.
 
kununua!!! tafuta architect akuchoree. wako wengi sana, unampa requirement zako tu.
 
Hi
cha kufanya tafuta architect na umpe requirements kama ulivyoshauriwa hapo juu, then utaandaliwa proposal kulingana na requirements zako. kwa taarifa zaidi piga No. +255 713 237487.
 
piga no 0755 571 572 for quality and reliable working and architectural drawings robert
 
Kuu humu ndani kuna wataalamu wanaweza fanya kazi hiyo,wasiliana nami
+8615124507103 ni graduate wa UCLAS kwa sasa niko china kuongeza ufanisi.
 
Safi sana wataalamu mliotoa namba za simu. Kwa faida ya wana JF wote, je gharama za kuchora huwa mnacharge vipi?namaanisha how do you arrive to the total architectural costs.
Shukraan.
 
kwa kawaida unatakiwa useme unahitaji nyumba iwe na nini na nini,unataka jengea eneo gani?(nina amanisha eneo limepimwa au halijapimwa) tatu unaweza ukasema sema(au usiseme) wewe nyumba unataka iweya kiasi gani?mtaalamu anaweza andaa michoro kutokana na maelezo yako akichanganya na utaalamu wake kukushauli kwa linalowezekana na lisilowezekana.Gharama za uchoraji zinawezakuwa 1.6% ghrama ya ujenzi(bei ya serikali) 2.kuelewana (kimjuano) ziponjia zingine za kucharge lakini kwa kazi za binafsi inakuwa ni ngumu.
 
lucost
1.6% ya gharama za ujenzi????

watu wanaweza wakajenga nyumba ramani moja lakini vifaa tofauti kwa hiyo bei ni tofauti

mimi nilizani mnacharge kwa ukubwa wa kazi???
ie ghorofa, nyumba ya chini, idadi ya vyumba n.k
kweli hii bongo..
 
For good plans check hii site www.globalhouseplans.com

kuna mshikaji wangu alimpelekea injinia mmoja bongo ramani kutoka global website jamaa akaanza kumwambia aiwezekani basi jamaa akamwambia ok nichoree yeye akuchora akaja na ramani ameiona south africa....
jamaa akamwambia tofauti yake na yeye ni nini???? ukawa mtafaruku mkubwa tu jamaa kuanza kumwambia anamdharau
 
kuna mshikaji wangu alimpelekea injinia mmoja bongo ramani kutoka global website jamaa akaanza kumwambia aiwezekani basi jamaa akamwambia ok nichoree yeye akuchora akaja na ramani ameiona south africa....
jamaa akamwambia tofauti yake na yeye ni nini???? ukawa mtafaruku mkubwa tu jamaa kuanza kumwambia anamdharau

Mkuu Semilong,kutoka web site hii mimi nimeona plani nzuri sana na tofauti, za nyumba kutoka sehemu mbali mbali duniani.
Mtu akikwambia plani fulani haifai(ile unayoipenda) basi ana matatizo ya upeo wa uelewa wake.
Kutoka kwenye site hii mimi nisha jenga nyumba tatu na ambazo zinapendeza sana.
 
19621 House Plans

Search our Collection of Distinct Home Plans

Quick Search

beds.gif
Bedrooms

1 2 3 4 5+

baths.gif
Bathrooms

1 2 3 4 5+

garage.gif
Garage Bays

1 2 3 4+

Square Feet

to


house.gif
Width (feet)

to
Depth (feet)

to
Stories

Single Story
Two Story
Three Story
Split Level



All selections are optional.
Advanced House Plans Search


Search By House Plan Number:
i.e. NDG-983




Browse House Plans

A Frame House PlansFeng Shui House PlansPrairie House PlansArts And Crafts House PlansFlorida Style House PlansRanch House PlansBeachfront House PlansFrench House PlansShingle House PlansBungalow House PlansGarage House PlansSmall House PlansCalifornia Style House PlansGarages With ApartmentsSouthern House PlansCape Cod House PlansGeorgian House PlansSouthwest House PlansCoastal House PlansHistoric House PlansSpanish House PlansColonial House PlansLog Cabin House PlansTraditional House PlansConcrete Block/ Icf DesignLuxury House PlansTransitional House PlansContemporary House PlansMediterranean House PlansTudor House PlansCountry House PlansModern House PlansTuscan House PlansCraftsman House PlansMulti-Level House PlansVacation Homes House PlansEuropean House PlansMulti-Unit House PlansVictorian House PlansFarmhouse House PlansPassive Solar House PlansWheelchair Accessible Plans House Plans of all Styles

Country House Plans = Relaxed Luxury

Country House Plans



House Plans come in many different shapes and styles (Click Here for a complete list of House Plan Styles on The Plan Collection). You see everything from sprawling Mediterranean villas and European estates to cozy bungalows and Tudor-style cottages. With such a wide selection, people can often get a bit overwhelmed when it comes to choosing a style for their new home. No matter what style you choose, there is one fact that is simply undeniable -- it's hard to beat the relaxed luxury of a good Country House Plan.

Take HPG-2500-1, for instance. Imagine the smell of a family barbeque as you're sitting on the covered rear porch, complete with an outdoor kitchen, on a cool summer evening; or feel the warm sun trickle into the breakfast area as you read the newspaper on a cheery spring morning. Honestly, what is more relaxing than peaceful country living?

From the beginning, Country Home Design has kept beauty and practicality as its main focus. In fact, Andrew Jackson Downing, one of early America's premier architects really stressed this way of thinking in his book The Architecture of Country Houses. In 1859 he wrote that homes should always be useful, but warns that utility in itself is not enough. He described how homes can be useful, but have no beauty about them. Such buildings "completely answer the useful requirements of man, and give not a ray of pleasure or satisfaction to his heart or understanding." (p.7)

Fortunately, HPG-2500-1 provides both form and function. You should really Check it Out!
More House Plan Related Articles »


Save Your Favorite Home Plans

We know how the search for a house plan can be. You find a great plan, but continue looking, then when you try and find the first plan... you can't remember how you found it. Here at The Plan Collection you can save your favorite plans and we'll store them until you return to visit. Just create an account by providing a valid email address and a password. Then as you browse our house plans, you can add any to your wish list and return to view them at any time. Get started saving your favorite home plans by creating an account.

Need help finding the perfect home plan?

Finding the perfect home plan can be difficult if you don't know where to start. To help you we've implemented several searching techniques on our website. Find your house plan now by going to our home design search form, use the links on the navigation bar to your left, or click here to read more about your home plan search options.While you take a look at our house plans, we'll keep working to help you find your dream home design!

Need More Information?

Thanks for visiting our extensive house plan collection featuring the finest home plans from leading home designers and architects across North America. Here you will find great home plans of the most popular architectural styles. Our goal is to help you find house plans that will meet you and your family's needs. Should you have any questions, need additional information on the floor plans you are interested in, or just need some alternative elevations; please give us a call. Our representatives are happy to help and will do what they can to get you the information as soon as possible. You can reach us from 8-5 mountain time, or inquire about home plans by email. We'll respond as soon as possible.

Helpful Links Bonyeza hii Links utapata Ramani ya Nyumba Bonyeza hapa Need House Plans? The perfect home plans for your dream are at ThePlanCollection.com! http://www.theplancollection.com/house-plans/newest
 
Mkuu Semilong,kutoka web site hii mimi nimeona plani nzuri sana na tofauti, za nyumba kutoka sehemu mbali mbali duniani.
Mtu akikwambia plani fulani haifai(ile unayoipenda) basi ana matatizo ya upeo wa uelewa wake.
Kutoka kwenye site hii mimi nisha jenga nyumba tatu na ambazo zinapendeza sana.

vipi fundi wako nyumba ni mtendaji mzuri
 
Wakuu nina ramani yangu mwenyewe, vipimo vyote. Kiwanja Changu kimepimwa, ramani yangu nitaipeleka ikawe approved mwenywe. Natafuta contractor wa kusimamia ujenzi wangu... Awe na proven record ya kusimami ujenzi, nataka aniletea ni wapi alishafanya huo usimamizi.

Nitumie PM kama umeshawai kuwa contractor.
 
4 drawing and thamani ya ujenzi(bill of quantity) find this person 0654 6863 89..he wl asstist u..

Mr mtanganyka find dc person wl help u vry big 0684 683006..
 
Mimi nafanya tathmini ya majengo na kuchora pia, +255712833135 my contact, nitafute tuongee.
 
Back
Top Bottom