Mleta mada tafuta source: wewe bado uko na hiyo Heligoland Treaty yako?Kwahiyo RWANDA na BURUNDI zirudishwe TANGANYIKA kufuata huo MKATABA?
Angalia ramani ya leo then niambie where is Mocambique? kwenye hii ramani yako ya kubuni.hakuna cha Helligoland Treaty hapa, mipaka ya Tanzania imepita katikati ya Ziwa.
Jamani nyinyi mbishieni tu huyu lakini ukweli wa mambo kwa kipindi kile cha karne ya 19 hivyo ndiyo ilivyokuwa. Ziwa lote lilikuwa nyasaland na siyo Tanganyika wala Mozambique. Hebu jaribuni kufuatilia huu mjadala kwa uangalifu na siyo kurukia.
Lakini kulikuwa na maendeleo mengine baadae. Na ndiyo maana Mozambique walipata nusu yao lakini Tanganyika kwa vile ilikuwa na mtawaliwa mmoja na Malawi ambaye ni Muingereza hakujali kufanya lo lote kuhusu kusogeza mpaka huu.
Na baada ya uhuru sijui kama Tanzania ilifanya juhudi yo yote ya ziada kujaribu kuurekebisha mpaka kwa mujibu wa sheria mpya za kimataifa.
Lakini kwani nini? Wachieni washikilie ziwa lao lakini vyanzo vya maji yanayoingia ziwani vinatokea milima ya Livingstone ambayo asilimia kubwa iko Tanzania. Tungekuwa matajiri tungeweza kuya divert yale maji tukawaachia na ziwa lililokauka.
Wakijifanya smart Tanzania iko smarter, zuia maji yote kwa mambo yenye manufaa wachie kidogo tu uone kama watasurvive.
..........Usimsingizie mwalimu hebu cheki signature hapo chini uone maneno yake acha kukurupuka na hoja yako ya kutuaminisha kwa maneno kama "haki ya Mungu", "huu ndio ukweli"kwa mara ya kwanza ilichapishwa na gazeti la Mwananchi mwanzoni mwa mwezi september kufuatia mahojiano maalumu na rais Kikwete naye bila kumung'unya maneno alisema ziwa ni mali ya Mawali ila wanaomba busara itumike katika kuweka mpaka mpya kufuatana na sheria za umoja wa mataifa kwamba nchi mbili zinazotenganishwa na maji basi mpaka wake utakuwa katikati ya maji hayo.
Serikali ya uingereza hata baada ya kutawala malawi na tanganyika walikataa kurekebisha mpaka wa nchi hizi mbili lakini wakarekebisha mpaka kati ya msumbiji na malawi. na baada ya uhuru maneno ya Mwl. JK Nyerere 1963 akihutubia OAU alisema ili kulinda amani ya africa basi yazipasa nchi zote kuheshimu mipaka iliyogawiwa na wakoloni. Na malawi wanatumia hii kama fimbo ya kutupigia watz.
Hata kama tukibisha huu ndio ukweli kwamba ziwa nyasa tunalitumia kwa nguvu na ubabe tu ila sio mali yetu kama tulivyoaminishwa tangu zamani
Mleta mada tafuta source: wewe bado uko na hiyo Heligoland Treaty yako?
.......kama kwako kufikiri ni tabu, kwa nini usikimbilie facebook ukachanganyikane na watoto wa shule wanaojifunza kujenga hoja bado? (penye bold) kama mtawala wa malawi na tanganyika alikuwa ni moja huoni kwamba hayo maji hayana mwenyewe?(kulingana na hoja yako dhaifu) hata ukiangalia ramani unayo/mnayoishobokea unaweza kuonyesha huo mpaka wa malawi (na malawi yenyewe?), unafahamu kwamba kwa kutumia ramani hii na zingine zinazofanana na hii Kamuzu Banda alishawahi kutamka kwamba hata sehemu ya kusini ya Northern Rhodesia (Zambia) ni sehemu ya Malawi na akajibiwa na KK ni shauri yake kama anataka kuanzisha vita? sio lazima uchangie kukaa kimya nako ni busara............Jamani nyinyi mbishieni tu huyu lakini ukweli wa mambo kwa kipindi kile cha karne ya 19 hivyo ndiyo ilivyokuwa. Ziwa lote lilikuwa nyasaland na siyo Tanganyika wala Mozambique. Hebu jaribuni kufuatilia huu mjadala kwa uangalifu na siyo kurukia.
Lakini kulikuwa na maendeleo mengine baadae. Na ndiyo maana Mozambique walipata nusu yao lakini Tanganyika kwa vile ilikuwa na mtawaliwa mmoja na Malawi ambaye ni Muingereza hakujali kufanya lo lote kuhusu kusogeza mpaka huu.
Na baada ya uhuru sijui kama Tanzania ilifanya juhudi yo yote ya ziada kujaribu kuurekebisha mpaka kwa mujibu wa sheria mpya za kimataifa.
Lakini kwani nini? Wachieni washikilie ziwa lao lakini vyanzo vya maji yanayoingia ziwani vinatokea milima ya Livingstone ambayo asilimia kubwa iko Tanzania. Tungekuwa matajiri tungeweza kuya divert yale maji tukawaachia na ziwa lililokauka.
Wakijifanya smart Tanzania iko smarter, zuia maji yote kwa mambo yenye manufaa wachie kidogo tu uone kama watasurvive.
Watanganyika wamezowea kua wezi.mfano:-ziwa nyasa ni la malawi wanasema ni lakwao,mt.kilimanjaro ni kenya wanasema niyakwao.zanzibar wameiteka wanasema niyakwao kumbe ina wenyewe.watanganyika mutakua wezi hadi lini?
.......kama kwako kufikiri ni tabu, kwa nini usikimbilie facebook ukachanganyikane na watoto wa shule wanaojifunza kujenga hoja bado? (penye bold) kama mtawala wa malawi na tanganyika alikuwa ni moja huoni kwamba hayo maji hayana mwenyewe?(kulingana na hoja yako dhaifu) hata ukiangalia ramani unayo/mnayoishobokea unaweza kuonyesha huo mpaka wa malawi (na malawi yenyewe?), unafahamu kwamba kwa kutumia ramani hii na zingine zinazofanana na hii Kamuzu Banda alishawahi kutamka kwamba hata sehemu ya kusini ya Northern Rhodesia (Zambia) ni sehemu ya Malawi na akajibiwa na KK ni shauri yake kama anataka kuanzisha vita? sio lazima uchangie kukaa kimya nako ni busara............