Ni ukweli mchungu sana. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Ziwa lote ni la Wamalawi.
Watanzania hatutaki vita wala ugomvi na majirani zetu, kama tuna hoja tuwahi mahakamani sheria ichukue mkondo wake.
Ni ukweli mchungu sana. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Ziwa lote ni la Wamalawi.
Watanzania hatutaki vita wala ugomvi na majirani zetu, kama tuna hoja tuwahi mahakamani sheria ichukue mkondo wake.
Time will tell. Tatizo ni udhaifu wa mawaziri wetu! Mulugo anaweza sema ziwa lote liko Nigeria!
.........hakuna kuangalia nani yupo nyuma ya kitu ambacho unaamini ni haki yako, hapa ni kukipigania tu, hivi ukikuta mtu anamtongoza mkeo/mmeo utaanza kuangalia nani yupo nyuma ya jambo hilo? woga wa kitotoMkuu una-undermine sana hii kitu! Think of who is behind the scene!
Watanzania wanaoleta hoja kama hizi ni heri tukawachukulia kama wasaliti.
Si hivyo tu Idawa,angalia mpaka katika Maziwa yote mengine umepita katikati ya maji. Mchoraji mjin.a huyu amesahau hata kaziwa kamoja kadogo nadhani natron karibu na Kilimanjaro,napo mpaka umepita kati. Ndio maana nilisema mwanzo huyu atakuwa mmalawi kwani watanzania tunafundishwa ramani na mipaka ya nchi yetu tangia darasa la tatu!hiyo ramani ya ajabu inaonyesha tanganyika tu nchi jirani haionyeshi,au wakati wanachora hiyo ramani nchi jirani hazikuzaliwa.