Kwa muda mrefu wamalawi wamekuwa tegemezi ki uchumi na ki fikra. Wakati w kupigania uhuru wao walikuwa wamewakumbatia na kuwasaidia makaburu. Baada ya hapo wamekuwa wanawaona waingereza kama wajomba zao,wakati wenzao wanawadharau tu. Tatizo na jirani yako badala mkae muongee unaenda kwa wazungu. Hawajui wazungu hawana permanent friends bali wana permanent interests!.By the way kuna wamalawi wanatumwa kutoa hoja zao za uongo humu JF ili ku manipulate akili za badhi ya watanzania wasiojua historia y nchi yetu na dunia ki ujumla. Kuweni makini na hoja zao!.