Ramani - Tanzania baada ya kuongezewa kilomita 241 baharini

Zenj itakuwa kama visiwa vya Ukerewe na itabidi Baraza la wawakilishi livunjwe tuunde baraza la madiwani Unguja na lingine Pemba. Seif awe mkuu wa wilaya Pemba na huku Unguja sijui apewe nani?

atapewa huyu manucler phyisics mzee wa uzinduzi na warsha.
 
Kiburi ni laana kwelikweli. Hatosheki aliye kiburi isipokuwa kwa machafuko tuuu na kuona damu inamwagika. Nyieee CCM, na nyie baadhi ya Watanganyika, hebu tuelezeni, ni nini hasaaaaa mnachotutakia Tanzania? Nini hasaaaaaaa nia ya move hiii? Couldn't you think any better? Nini mnachotaka au mnachotegemea waZanznibari waseme au wafanye?

This is seriously stupid. Penye hitilafu hurekebishwa na sio kuongeza hitilafu.
"Aisifuye Mvua Imemnyea"
Magamba mliwachagua wenyewe na kuiponda CDM,sasa mwaiona "Ngondo"mnaanza kuwalalamikia,ikifika 2015 mnawachagua tena.Acheni unafiki wenu.
 
Big up Prof. Anna Tibaijuka, hawa ndiyo ma-professor wa ukweli, sio wale ma-professor wa Nuclea Physics
ambao kazi yao ni kupanda miti na kufungua makongamano. warsha, semina, mikutano na upuuzi kedekede

Go go go Prof Tibaijuka, the true daugher of Tanganyika, we are proud of you.
si mpaka utukane watu ndo uonekane umechangia. kwani huyo tibaijuka anafanya kazi kwa niaba ya nani? na hayo maamzi hayapiti kwenye cabinet? kama masaburi yako yanakuwasha ni vizuri tu ukatumia mkono kuyakuna.
 
Hata muungano ukivunjika si tutawaachia hilo eneo?hawa jamaa vipi?
Au waarabu anataka kufanya tena mapinduzi baada ya kupinduliwa?
 
Na hilo ziwa Kusini Magharibi - Linaitwa Malawi au Nyasa? Na jee tuna sehemu ya ziwa hilo, au lote liko Malawi kama wao wanavyodai?
Hilo ni ziwa Nyasa. Hakuna kitu kama ziwa Malawi. Ni Banda baada ya kubadilisha jina la nchi yake akaamua kubadili jina la ziwa nyasa na kuwa ziwa Malawi. Haikubaliki. Mbona hatukubadili ziwa Tanganyika kuwa ziwa Tanzania? Viongozi wetu wanakaa na kuwaza posho, hawawazi mipaka yetu katika ziwa hilo.
 
Big up Prof. Anna Tibaijuka, hawa ndiyo ma-professor wa ukweli, sio wale ma-professor wa Nuclea Physics
ambao kazi yao ni kupanda miti na kufungua makongamano. warsha, semina, mikutano na upuuzi kedekede

Go go go Prof Tibaijuka, the true daugher of Tanganyika, we are proud of you.
nyinyi watanganyika wenye sera hizi mshalaaniwa hajijui tu dhulma itakurudia mwenyewe suburi tu:lol:
 
Chako chetu lakini changu changu. Hayo ndiyo mafuta ya visiwani lakini bili ya TANESCO mmmh.

umeme hamtugaii bure na istoshe laini yetu mmeiunganisha na viwanda vilivyoko tanganyika kwa maana hiyo hakuna faida tunayopata wakati tumeharamia kila kitu wenyewe na vile vile minerals za tanganyika hatupati kitu hata cent jamani angalieni muungano tunatakiwa tupate 4.5 sasa inakuaje uje bahari yangu uchukue mafuta halafu hela wagawane ccm na zinazobakia zikae tanganyika nooooooooooo MPAKA KIELEWEKEEEEEEEE HATUTAKI MUUNGANO MNATUNGANGANIA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom