Ramani - Tanzania baada ya kuongezewa kilomita 241 baharini

Top Thinker

Senior Member
Sep 8, 2011
183
125
Hii ndivyo itakavyokuwa, unguja na pemba vinaonekana kama tarafa katika nchi hii kubwa ya tanzania.

Big up prof. Hon. Tibaijuka na waziri wa ardhi wa smz kwa hatua mliyochukua as kuonezewa kwa eneo hili litaiweka jamhuri ya muungano safe kutoka kwa maharamia.

tanzania.png
 
hii ndivyo itakavyokuwa, unguja na pemba vinaonekana kama tarafa katika nchi hii kubwa ya tanzania.

Big up prof. Hon. Tibaijuka na waziri wa ardhi wa smz kwa hatua mliyochukua as kuonezewa kwa eneo hili litaiweka jamhuri ya
muungano safe kutoka kwa maharamia.

View attachment 46032

sasa jussa ajinyongeeee!!!!!!!!!!!! Maana anatamani aving'oe hivyo visiwa avipeleke uarabuni!!!!!!!!
 
Safi sana Prof.Tibaijuka. Jussa aende akashtaki Oman. Bahati nzuri na sisi huku bara OIC tumeichinjilia baharini.Wajinyonge tu!
 
Hii ndivyo itakavyokuwa, unguja na pemba vinaonekana kama tarafa katika nchi hii kubwa ya tanzania.

Big up prof. Hon. Tibaijuka na waziri wa ardhi wa smz kwa hatua mliyochukua as kuonezewa kwa eneo hili litaiweka jamhuri ya muungano safe kutoka kwa maharamia.

View attachment 46032
Kama ishu ni kuongezewa km 241, basi ramani haipo sawa....
Kuna eneo la bahari ambalo ni mali ya Tanzania, kabla hata ya hiyo nyongeza ya km 241.
 
Na hilo ziwa Kusini Magharibi - Linaitwa Malawi au Nyasa? Na jee tuna sehemu ya ziwa hilo, au lote liko Malawi kama wao wanavyodai?
 
Na hilo ziwa Kusini Magharibi - Linaitwa Malawi au Nyasa? Na jee tuna sehemu ya ziwa hilo, au lote liko Malawi kama wao wanavyodai?

duuuuh, hii ni ishu aisee, maana kwenye ramani ya dunia hata ukicheki google earth, mpaka wa Tanzania upo pembeni mwa ziwa kabisa, yaani kwenye ufukwe, which shows kuwa eneo lote la ziwa lipo malawi, na Tanzania hatuna hata maji.
 
Big up Prof. Anna Tibaijuka, hawa ndiyo ma-professor wa ukweli, sio wale ma-professor wa Nuclea Physics
ambao kazi yao ni kupanda miti na kufungua makongamano. warsha, semina, mikutano na upuuzi kedekede

Go go go Prof Tibaijuka, the true daugher of Tanganyika, we are proud of you.
 
Hii ndivyo itakavyokuwa, unguja na pemba vinaonekana kama tarafa katika nchi hii kubwa ya tanzania.

Big up prof. Hon. Tibaijuka na waziri wa ardhi wa smz kwa hatua mliyochukua as kuonezewa kwa eneo hili litaiweka jamhuri ya muungano safe kutoka kwa maharamia.

View attachment 46032
Kelele yote ya wazenj kuwa ni nchi kwisha habari. Au watakuwa nchi ndani ya Tanzania kama Swaziland? Na wimbo wao wa Taifa utakuwa wa wilaya au tarafa? Na katiba yao itakuwa labda mwongozo wa viongozi wa vijiji vya Pemba na Unguja. Big up Tibaijuka, tunaomba ombi likubaliwe mapema kabla ya 2015.
 
Kutokana na hiyo ramani kama inaruhusiwa kuongeza "inland" kwa kujaza sehemu ya bahari, naona Zanzibar malalamiko yao yana msingi. Tujiandae kuona mahoteli baharini.
 
Hii ndivyo itakavyokuwa, unguja na pemba vinaonekana kama tarafa katika nchi hii kubwa ya tanzania.

Big up prof. Hon. Tibaijuka na waziri wa ardhi wa smz kwa hatua mliyochukua as kuonezewa kwa eneo hili litaiweka jamhuri ya muungano safe kutoka kwa maharamia.

View attachment 46032

Mimi nadhani bado mpaka haujarekebishwa vizuri. Umbali wa km 241 ulitakiwa uwe ni kutoka nchi kavu ya visiwa vya pemba na zanzibar. Kwa namna ramani inavyoonyesha, wameongeza eneo la Tanganyika na si Tanzania sababu wamechukua reference point yao kutoka Tanzania bara. Bado tunahitaji kuwadai tena!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom