Ramani mpya ya Africa

Nitakapopaclaim mm pamefichika................iz the ramani twistable???????eneo langu halionekani......................
 
Nyonyo zingekuwa Bongo ingetulia sana, mabaka uchumi yanakuja kunyonya tu yanatembea, angalia wamiliki wa biashara ya mafuta mpaka hasira!
 
kwa hiyo mnataka Asia Europe na America bila kusahau Latin America watuchumbie? wakiona tumewategeshea kabisa wataleta posa soon!!
Hao jamaa walishaichumbia Africa tangu miaka mingi na Africa ikarembua na kulegea mpaka kesho!
 
Kuna mdau kaichora hii ramani mpya ya Africa. Wataalamu wa mambo ya jiografia mnasemaje?<br />
<br />
<img src="https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=34840&amp;stc=1" attachmentid="34840" alt="" id="vbattach_34840" class="previewthumb size_fullsize" />
<br />
<br />
mia.
 
Huyu kaaamua kuchafua Idea ya mtu, picha halisi niliiona miaka kadhaa iliyo pita nadhani ina nembo ya NGO inayoitwa GNLD, imachorwa mama wa kiafrika akimchukua mtoto chini. Mtoto mwenyewe ni Madagaska. It was meaningfull.
 
Huyu kaaamua kuchafua Idea ya mtu. Picha halisi niliiona miaka kadhaa iliyo pita nadhani ina nembo ya NGO inayoitwa GNLD, imachorwa mama wa kiafrika akimchukua mtoto chini. Mtoto mwenyewe ni Madagaska. It was meaningfull.
 
Kuna mdau kaichora hii ramani mpya ya Africa. Wataalamu wa mambo ya jiografia mnasemaje?

View attachment 34840
Nimeipenda kwa sababu "Waafrika uchumi tunao".
Pia inanifanya nitafakari kuwa "Waafrika (wengi) tunafikiri Kinaigeria na Kitanzania, i.e. kwa makalio na mikono au kwa maneno mengine "kwa ngono na kula".
 
Back
Top Bottom