Ramadhani mubarak .

Asabaya

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
1,310
414
Habari za usiku ma bibi na mwabwana,
Napenda kuwapa mkono wa Ramadhani ndugu zatu waislam,sie tulioko arabuni inshallah tunaanza kesho,kufunga.
Nawatakia Ramadhani njema, inshallah Mwenyezi mungu akubali touba zetu,atujaalie kheir na baraka sie na wazee wetu na watoto. Atupe wepesi kwenye mambo yetuu ameen yaraab..
 
Ramadhan njema kwa wote, sisi huku tunaanza keshokutwa. Sasa inabidi kupunguza kuja huju maana saa nyingine picha nyingine vituko. itakuja niharuibia saumu yangu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom