Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ramadhan Mubarak Jamaa Muslim

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by GHOST RYDER, Aug 1, 2011.

  1. GHOST RYDER

    GHOST RYDER JF-Expert Member

    #1
    Aug 1, 2011
    Joined: Jun 10, 2011
    Messages: 1,022
    Likes Received: 12
    Trophy Points: 135
    Nichukue fursa hii kwa dhati ya Moyo wangu kuwatakia waumini wote wa dini ya Kiislam mnashiriki jamvini kudumisha wingi wa ibada na kujikurubisha kwa Muumba ili kupata radhi zake.

    Hakuna tofauti za mwezi wala makundi, inatia faraja

    Ramadhan Mubarak

    ADIOS
     
Loading...