Ramadhan Masanja 'Banza Stone'yuko wapi?

Rwey

Senior Member
Jul 11, 2008
121
23
Naulizakuhusu yulemwanamuziki Banza Stone aliyevuma sanakatika muziki wa dansi hapa Tanzania, mbona hasikiki tena ghafla kiasi hiki!!!!!!!
 
ukitaka kumuona utampata viwanja gani?na muziki wake unaendeleaje?au kesha isha?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom