Ramadhan Kareem to Mwali... na Waislam wote wa Chit-Chat

bifu yenu kuh CUTE mnaihamishia hapa? nshawambieni fight it out,atakayeng'olewa menu shauri lake.

Huyo babu jinga, maneno mazuri yote anaambiwa yeye, afu juu ya kifua nakwea mimi.
 
Last edited by a moderator:
konnie bana,kusoma hujui hata kutafasiri picha?
hujagundua kuna mtu analilia kupikiwa iftar?


Na keshaikosa!!! maskini Mphamvu itabidi awe anapita kwenye vibanda ilala pale, kuna uji wa pilipili manga na tambi nzuri tu
 
Last edited by a moderator:
Asante sana Uncle Kaizer. Karibu dessert... (yogurt icecream, mapishi yake utapata hapa)
yoghurt-ice-cream-394x300.jpg

Thank u so much Mwali! Yaani thats so sweet of u!
 
Last edited by a moderator:
Na keshaikosa!!! maskini Mphamvu itabidi awe anapita kwenye vibanda ilala pale, kuna uji wa pilipili manga na tambi nzuri tu

Nimekula moja leo pale Mtogole, iko safi ila magimbi yalinishinda, kuna iftar nilipata pale Mnazi mmoja mwaka 2008, nadhani nitairudia nikijaliwa uhai.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom