Rally in Tanzania Special Thread

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,870
155,831
Naamini kuna wapenzi wengi sana wa mbio za magari. Mchezo huu si mgeni hapa nchini kwetu. Hapa tutakuwa tukijulishana mambo yanayojiri kwenye mchezo huu wa kipekee kabisa. Enjoy.
 
Leo kutakuwa na maonyesho ya magari ya mbio za magari pale Mlimani City, wote mnakaribishwa kuona wataalam wakiyachezea magari. Usikose onyesho hili la kipekee litakalo anza saa kumi na moja jioni.
 
THESE days will never come back
59562104.jpg
 
Back
Top Bottom