Raisi na kikumbusha cha kuteremsha vyandarua, saa 3 usiku

Makene

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
1,475
282
Kwa hakika tangazo lile lingekuwa na mashiko iwapo yeye presida angeonekana katika mazingira ya utayari wa kwenda kulala,

Iwapo angeonekana amevalia pyjama au kanga ingekuwa nzuri zaidi, sasa wanapomuona sebuleni kwenye kochi amevaa suti inakuwa kama anafanya utani tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom