Raisi KIKWETE Ahojiwa BBC Leo; asema Tatizo la Mgawo ni UKAME

Donyongijape

JF-Expert Member
May 28, 2010
1,497
811
WANA JF,

Nimefungulia BBC nikakuta JK akihojiwa kuhusu hali ya Umeme nchini. Nilichobahatika kumsikia ni kuwa haiwezekani kutatua tatizo la mgao ndani ya mwezi..tatizo kubwa ni upungufu wa maji , yaani ukame. Amesema serikali imetoa Oda kwa mitambo mipya inayokuja mwezi wa 12.! Kuhusu altenative energy kama umeme jua etc, kuongea kwake kulikuwa kama kubeza. Je kuna ya ziada wadau mmeyasikia tofauti na haya??. Maana nimekuta ndiyo anaishia.

Wasalaam
 
Inahitaji moyo sana kukaa na kumsikiliza hadi mwisho. Nchni za ajabu sana hizi hata Rais anakuwa corrupt?
 
Huyu kikwete sijui kwa nini ni raisi. Maana aliyoongea utafikiri kwamba hairekodiwi. Ni ujinga , upuuzi na ubezaji tupu. Kenya imeweza TANZANIA JE?
 
Amesema Serikali haiwezi kuleta mvua ili mabwawa yajae maji.

Kwa kweli napata taabu sana kumwelewa Mkulu, masihara yamemjaa, kubeza waliomtangulia na wapinzani ndo anaona dili. Hii nchi ni yetu wote jamani, tusidharauliane kwa kuwa wengine tuko nje ya Chama Twawala.
 
Nimemsikiliza uzuri saana. Nilichomuelewa ni kuwa kama Rais na Kama Mwenyekiti wa CCM, fikra zake zote zimeganda kwenye umeme wa maji tu, na ndio maana jibu lake ni ukame. Nafikiri katika uchaguzi ujao moja ya kigezo cha kumpata Rais iwe ni Kutueleza ni namna gani atatutoa katika wimbi kama hili, na akishindwa tu ndani ya miaka mitatu atoswe!!!
 
Huwa hatumii ubongo wake kujaji mambo,anatumia makamasi!!
Avoid simple answers for difficult questions
 
hivi mnadhani anamaanisha anachokiongea??? he is just saying it for the sake, SIAJABU AMESHASAHAU ALIONGEA NINI

Imagine presidaa wa ari zaidi, nguvu zaidi, kasi zaidi anategemea maji yaliyomwashia taa Nyerere kuwasha taa za taifa???

Namshukuru Mungu sana siku hizi simsikizi hata aongee nini
 
Yeah,anasema watu wasibeze juhudi zao.....maana tangu waingie madarakani wameongeza MEGAWAT NYINGI TY(NAMBA KAMILI NIMESAHAU)ILA AMETAJA
WANA JF,Nimefungulia BBC nikakuta JK akihojiwa kuhusu hali ya Umeme nchini. Nilichobahatika kumsikia ni kuwa haiwezekani kutatua tatizo la mgao ndani ya mwezi..tatizo kubwa ni upungufu wa maji , yaani ukame. Amesema serikali imetoa Oda kwa mitambo mipya inayokuja mwezi wa 12.! Kuhusu altenative energy kama umeme jua etc, kuongea kwake kulikuwa kama kubeza. Je kuna ya ziada wadau mmeyasikia tofauti na haya??. Maana nimekuta ndiyo anaishia.Wasalaam
 
Yaan JK anakurupuka kujibu, point yake anakuambia gvt haiwezi kutengeneza mvua hivi anadhan anahojiwa na TBC Taifa.
 
ukimulz sasa hivi mara baada ya kuhojiwa atakwambia..''mii sijasema hayo wewe umwyapata wapi?''
 
Majuto ni mjukuu, haya ndo matatizo ya kupenda vitu rahisi rahisi matokeo yake hata Rais wamemchagua hivyo hivyo!
 
Kikwete amekuwa na dharau sana, kwa jinsi alivyokuwa anajibu yale maswali sidhani hata kama alikuwa anafikiria.
Ni wazi IQ yake ni below 50.
 
Huyu Vasco Da Gama II kama huna moyo mdogo huwezi kumsikiliza, inahitaji moyo kumsikiliza huyu Kiumbe
 
WANA JF,

Nimefungulia BBC nikakuta JK akihojiwa kuhusu hali ya Umeme nchini. Nilichobahatika kumsikia ni kuwa haiwezekani kutatua tatizo la mgao ndani ya mwezi..tatizo kubwa ni upungufu wa maji , yaani ukame. Amesema serikali imetoa Oda kwa mitambo mipya inayokuja mwezi wa 12.! Kuhusu altenative energy kama umeme jua etc, kuongea kwake kulikuwa kama kubeza. Je kuna ya ziada wadau mmeyasikia tofauti na haya??. Maana nimekuta ndiyo anaishia.

Wasalaam
JK hajaanza kujibu utumbo leo, mara nyingi tu anafanya hivyo sijui tunashangaa nini??. Si ni yeye aliyesema hajui kwa nini Tanzania ni maskini sasa leo akijibu upuuzi unashangaa nini.. tumeyataka wenyewe mpaka 2015, tutakomaje?
 
Mods hii iunganishwe na ya Pasco!!! Au ya Pasco ije huku!!!

I repeat, JK is a failed president...
 
Jamani, za kwake ye alishachanganya na mbayu wayu toka kitambo. C ajabu hapo angeulizwa swali tena kama Tanzania kuna tatizo la umeme ungesikia... Mi cjui kama Tanzania kuna mgao wa umeme. Nchi kwishney kabisa.
 
haaaah huyu jamaa bwana bado hajaacha kauli zake tata? Amesahau kwamba kwenye serikali yake walitaka kutengeneza mvua ya kikorea?
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom