Raisi kikwete acha kuwadanganya watanzania-wamarekani

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,779
Jana nilishtuka kidogo kusikia Raisi wangu jk akiwa na watanzania walioko
marekani ati amejitahidi asilimia 96 kupeleka watoto kwenda shule hata wale
waliokuwa awana uwezo wa kwenda shule ...huu ni utapeli mkubwa sikuwahi
kufikiri raisi anaweza waona watanzania wa USA mafamba kiasi hiki na baaya zaidi wengine waikapa mpaka marende ruwa oko mndumi
kama amjui zaidi watanzania mkiwa mjii ngumu kujua nendeni vijijini na wala si mbali
Kule anapotoka raisi kikwete utalia..si tunakimbizana nao kwenye NGO ni shameful uwezi amini Raisi amezaliwa sehemu kama hii akiwa marekani anawaona watanzania wa uko bogasi kiasi hiko mpaka wanapiga miguu wengine kwa furaha..jamani ukija tu hapa dar kamaana mheshimu MUNGU atangaze watanzania walioshindwa kuendelea shule kwa asababu yuwezo wajitokeze utoshangaa kuona na ndugu zake wakiwepo...tupo na mjomba wake mmoja anasema amewashau kabisa hata kwenye elimu..anyway mambo ya familia sasa ni uhuni kwa rais mzima kudanganya watanzania sijui anaamin awarudi tena ama???mjulisheni sio wote walioshindwa kurudi tanzania wengine kila sikukuu mko hapa mpaka NYERERE DAY kumkumbuka Raisi wenu..sasa anavyowadanganya mshtuke msikimbilie makofi mara kwa mara hana uwezo wa kuwarudisha huyo ata mkipimnga MUNGU akisema we na tanzania basi basi hutorudi tena...mpeni maswali awe anachangamsha kichwa akijua anaongea na wasomi...walikwenda kwa akili zao si kwa NGO kama walivyowamwaga ndugu zao huko....
 
Njooni sehemu inaitwa ubungo jamani aibu watoto wamemwagika wanaosha vyoo kwa sh mia tena kwa kurukia maana awafikii na wakimalza usipowapa wamekuwa mashetani wanakumwagia maji aijalishi umewakataz wasiendelee wakiwaki kurukia lako sasa ajeapeleke wal watotot shule aache blaa blaa
 
Du ! Rais anachapia? Kama mngepata nafasi mngemuuliza hizo data ni za lini? inawezekana ndo expectations za 2070
 
Pdidy nakubaliana na ww mia kwa mia. Halafu kitu kingine kilichonishtua ni kwamba kwenye yale maigizo ya maswali waliyofanya na tiddo mhando alisema miongoni mwa mambo anayojuta kwa kuwa yamefeli utekelezaji wake ni hizi shule za kata. Alisema ilikuwa ni issue ya former pm na kwamba angekuwa na uwezo wa kulizua hilo lisitekelezwe angezuia kwani ni matatizo matupu lakini hakuwa na huo uwezo kwa kuwa ni ilani ya chama. Sasa cha ajabu jana kaspend muda kibao anafagilia shule za kata alinishangaza kwa kweli. Kwamba huku ndani kwa kuwa anajuwa tunaona uozo uliomo kwenye shule za kata anakiri hilo mbele zetu na kujuta kabisa utekelezaji wake, huko nje kwa kuwa hawaoni utumbo wa shule za kata kwake ndio unakuwa mtaji wa kuombea misaada. Rais Kikwete what is this jamani mbona hatuelewi? You are the president mzee maneno yako hayapaswi kuwa porojo kama za akina masanja zinazobadilika kulingana na mahali au tv waliyopo.
 
Jaman ni aibu anendeni vijijini huyu rais wetu anaenda sehemu akisikia ufunguzi safari za per diem basi hutomwona akufika kwenye vijiji vyake huko alikozaliwa aibuuuuuu acha uende uko umangantini awajui shule nini na wengine wamechangisha wamejenga shule awana walimu wa kufundisha we jk
tubu nasema tubu kabla ujatubiwa
 
Baya zaidi wale vijana wanamchekea kama anagawa mahari wakati na uhakika kuna baadhi ya ndugu wako uko usa wakijua ndugu zao awaendis hule kabisa sababu zya uwezo ama shida mbali mbali...jamani mnakula milo mitatu nendeni vijijini abh wamefaulu uji ama maji ya moto msosi mchana usiku maji...shame president awako mbali vijiji vya kimbwanindi...nk.....acheni kudanganganyika wanandgu
 
Hivi huyu Kikweteeee mbona safari za USA nyingi sana?sasa tumeziona kuna mwana jamii mmoja alisema ngojeni tutaona tu hizi safari kuna kitu ndani yake,duh kumbe ndo huo uongo jamani?acha Mkulu tunakuheshimu,unatumia hela za walipa kodi kibao kwenda kuwachimbia kaburi,haya bwana tutaganye tu siku moja tuta..............
 
January Makamba ndie mshauri mkuu wa rais kuwa aseme nini na wapi
 
Tatizo Rais wetu kazidisha usanii sana
Unaposema kazidisha kwani kuna siku alipunguza....??? HUYU JAMAA NI MSANII FULL NETWORK.......... safari nyingiiiiiii........kukana aliyokwisha kuyaahidi kwingiiii............ kusaini vya kuchomekewa kwa sanaaaaa.......... kudanganya kwa kwenda mbeleeeeeee.............
 
Hapa twe wazi elimu hamana kitu chochote-hizo takwimu c za kweli-hiyo ndo hali halisi na kila mwaka kuna hata wale wa kata wale ambao hawajui kusoma wala kuandika japo wamemaliza la saba,hao nao ni kama hawajaenda shule na wapo kibao wakuu!!
 
Sasa ataongea nini anapokosa maneno ya kuongea? kwani wakwele ni wageni kwenu?
 
january makamba ndie mshauri mkuu wa rais kuwa aseme nini na wapi



weweeee huyu si ndiooo mwizi wa mkataba wa tanzania bila malaria inawezekana niliona magazetini heee sasa kama tapeli kama hili linakaa linakula ikulu kunya ikulu rais atasema nini zaidi ya usanii mtupu

shame presidaaa
 
Jamani huyu Laisi kaongea na watanzania gani na lini?

Wengine tulishachoka, sasa kilichobaki ni kuiombea tanzania.....
 
Mi nadhani kuombea nchi sio issue, kama watu wamejiweka upande wa pili wakiacha watu walio zoeleka kugombea. Natoa changamoto kuwa WATU CHUKUENI HATUA MUGOMBEE! sio kuombea uchaguzi tu. Just try may be it will confuse bogus staff.
 
Sasa ataongea nini anapokosa maneno ya kuongea? kwani wakwele ni wageni kwenu?

Kwani Wakwere wakoje?? Always jaribu kuandika kitu chenye mantiki/busara ndani yake. Tabia ya mtu mmoja haiwezi kuwakilisha tabia ya kabila lote.
 
Back
Top Bottom