Raisi jk ameenda kinyume na katiba ya jamhuri ya muungano aliyoapa nayo

prakatatumba

JF-Expert Member
Oct 17, 2011
1,328
190
Chini ya ibara 55 (4 ) kuhusu Uteuzi wa Mawaziri inasema Mawaziri na Naibu Mawaziri wote watateuliwa kutoka
miongoni mwa Wabunge,
ibara 68 inasema 68. Kila Mbunge atatakiwa kuapishwa katika Bunge kiapo cha uaminifu kabla hajaanza kushiriki katika shughuli za Bunge; lakini Mbunge aweza kushiriki katika uchaguzi wa Spika hata kabla hajaapishwa.

SASA MUHESHIMIWA RAISI JANA NA LEO MCHANA ALITEUA WABUNGE WAPYA AMBAO NI SAADA, MBATIA N.K NA MIONGONI YAO ALIMTEUA SAADA MKUYA KUWA NAIBU WAZIRI KATIKA WIZARA YA FEDHA KABLA HATA HAJAPISHWA KUWA KAMA MBUNGE, JE JK AMEENDA KINYUME NA KATIBA, NA JE LEGALITY YAO IPOJE??

AKILI ZA MBAYUWAYU CHANGANYA NA ZAKO, MTAZAMO TU.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom