Rais wetu si ajifunze kwa wenzake??

Uwezo wa mkuu wa kaya nikuita wazee wa Dar ili aongee nao. Nao wasikilize tu, hakuna maswali! Ili apate uwanja wa kumwaga vitisho na kuhadithia mambo ya kong'ota na mbayuwayu.
 
Na kuzurula amuachie nani labda kama ikulu ya Tanzania ingekua Marekani labdaaa
 
Prezzo Kilaza hawezi kukaa meza moja na wataalam kama hawa hata siku moja!!
 
Rais wa Marekani aliamua kukaa na hivi vichwa kubadilishana mawazo.....hivi huyu wa Kwetu yeye hapatagi muda wa kukaa na wataalam??.....ila muda wa kukaa na kina Sheikh Yahaya.....na Maimuna anao....


View attachment 38571

View attachment 38575

The executives who attended the dinner were:

  • Carol Bartz, President and CEO of Yahoo!
  • John Chambers, CEO and Chairman of Cisco Systems
  • Dick Costolo, CEO of Twitter
  • Larry Ellison, CEO of Oracle
  • Reed Hastings, CEO of Netflix
  • John Hennessy, President of Stanford University
  • Art Levinson, Chairman and former CEO of Genentech
  • Steve Jobs, CEO of Apple
  • Eric Schmidt, Chairman of Google
  • Steve Westly, Managing Partner and Founder of The Westly Group
  • Mark Zuckerberg, President and CEO of Facebook
Nadhani hapa walikuwa kwenye kikao chao cha hacking a.k.a udukuzi wa mawasiliano yetu, maana nimecheki hiyo list mpaka mwili ukanisisimka
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom