rais wangu kikwete!!

jobe ayoub

JF-Expert Member
Jan 30, 2012
203
99
tujadili uwezo wa kikwete wa kuteua viongozi,kuwasimamia na kuwachukulia hatua.hivi kweli anaweza chochote?
mbona ka-issue kadogo tu ka-madaktari kamemshinda!! je ingekua wizara!! hivi kweli huyu bwana aliwahi kua mjeshi? manake najua jeshini hakuna kuuza sura,mambo mbele.vipi yeye anakua mla-iiiini..ana nini na akina mponda wake?
 
Back
Top Bottom